bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
unanidai nin! Mi huwa sikopi.
tatizo la kusahau sahau sio vizuri,
hata message hujibu!!!
hebu njoo kwa PM!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unanidai nin! Mi huwa sikopi.
Oyaaaa Hashyhot yuko wapi????mpambano umeanza tena na tunafungua na Hashycool...................Bacha uwanja ni wako umesema jana hukuwepo,and please do not let us down..............LOL
Umesha geuza maskani sasa hapa.
Hayo majina unayafurahia?
nilitingwa kidogo na majukumu ya kitaifa baby!,
si unajua kuwa bado nakudai eeeeeh?
tatizo la kusahau sahau sio vizuri,
hata message hujibu!!!
hebu njoo kwa PM!!!!
mmmmh,
rede - handed!!!!!!
Ulikuwa hujui??? Im watching??
Ulikuwa hujui??? Im watching??
Very Closely!!!
tatizo la kusahau sahau sio vizuri,
hata message hujibu!!!
hebu njoo kwa PM!!!!
Naomba kazi ya kukata nyasi asilia....
Hata majirani tusisalimie jamani?,sisi kwetu usukumani ukishaamka tu,
unatakiwa usalimie majirani wote ndo uendelee na program zako nyingine za siku hiyo!!!!!!
mtu mwenyewe bado unaendelea kutukandamiza tu.
Nilikuwa napita tu haya naondoka
Nitaku PM tuongee faragha sawa??
Nitaku PM tuongee faragha sawa??
Nimesubili sana lakini naona kimyaaaaaaaaaaaaaaa
mwenye macho siku zote haambiwi tazama!!!!!!
Nikikupata milele nitafurahi nitaimba nakupenda hadi mwisho wa uhai