Je alikuwa sahihi?TWO WRONGS DO NOT MAKE ONE RIGHT!
Nimekuuliza unafahamu vizuri historia ya Joseph Nyerere kwenye kupigania uhuru wa nchi hii? Hiyo ya Karume ina tatizo gani? Maana ni yeye na mdogo wake tu walishakula shavuWewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!
Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?
Una maana gani kuteuliwa ni fursa? Mbona miaka yote wasukuma wanashika nyadhifa, lakini sio kama enzi za awamu ya tano?Mtoa post ana ukabila wa kiwango cha juu.Ulitaka Wasukuma wasipate kabisa fursa yoyote?Si mlisema Magufuli si msukuma!Acheni chuki.
Ni wasukuma wangapi wameteuliwa?Acha chuki za kikabila.Kama kuna msukuma alikukwaza shughulika na huyo huyo lakini usitugawe Watanzania kwa hoja mfu za kikabila.Una maana gani kuteuliwa ni fursa? Mbona miaka yote wasukuma wanashika nyadhifa, lakini sio kama enzi za awamu ya tano?
Hapana mkuu kama kuna waliobebwa kwa ukabila waondolewe. Acha ujinga kabisa. Yaani watu mil 60 wasukuma tu ndio wawe wanasifa kwa asilimia 80?
Ahaaa. Nasikia aliuliza swali gumu Ikulu akawa amejiharibiaMsukuma pekee ambaye ja kupata bahati ya kukumbukwa katika teuzi ni Pascal Mayalla sijui alikuwa na nuksi gani !.Jamaa baada ya kuona hata kurugenzi ya Ikulu hakunbukwi akaamua kujitosa ubunge Kawe kule hakupiga hesabu vizuri kumbe alikuwepo Msukuma zaidi yake bora angekwenda jimbo lingine angewaza kukumbukwa.
Jaji kiongozi ni msukuma. Mwanasheria mkuu ni msukuma, jiongeze we msukuma.Ni wasukuma wangapi wameteuliwa?Acha chuki za kikabila.Kama kuna msukuma alikukwaza shughulika na huyo huyo lakini usitugawe Watanzania kwa hoja mfu za kikabila.
Walipendelewa?Nipe asilimia ya wasukuma kiidadi hapa nchini.Kwa kuwa ni wengi ndiyo maana unawaona kila sehemu,tena wakiwa na vigezo.Kama kuna mtu hana sifa alipendelewa mtaje.Jaji kiongozi ni msukuma. Mwanasheria mkuu ni msukuma, jiongeze we msukuma.
Acha upumbavu wako.Masukuma ni Majinga Sana!
Kama ni wamoja kwa nini walijazwa wasukuma kila teuzi.Sisi ni taifa moja, Kambarage baba mmoja sasa tofauti za nini tusimame tukaijenge Tanzania
Bahati mbaya wa kulijibu hilo swali hayupo tenaKama ni wamoja kwa nini walijazwa wasukuma kila teuzi.
Kwani idadi yao kuwa wengi ndio wawe wanajiteua kwa upendeleo?Tukianza kuendekeza ukabila na kila mtu akawa anamkubali mtu wa kabila lake tu na hata kura ziwe zinapigwa kwa kuangalia kabila la mtu basi Wasukuma watatawala hii nchi milele, ni upumbavu wako tu ndio uliokusukuma kuleta topic ya kipumbavu humu
Nisamehe Mkuu ila ndio iko hivo.. Masukuma majinga sana.Acha upumbavu wako.
Nimekuuliza unafahamu vizuri historia ya Joseph Nyerere kwenye kupigania uhuru wa nchi hii? Hiyo ya Karume ina tatizo gani? Maana ni yeye na mdogo wake tu walishakula shavu kubwa.