Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
Sikuwahi tambua hata kidogo kuwa Wasukuma ni wakabila namna hii ndani ya nchi hii! Hawafai hata kidogo!!

Afadhali viongozi watoke kwenye makabila madogo madogo kwa sasa! Ila wasukuma hapana tema mate chini, ptuuu
Kabila gani sio wa kabila?
 
Joker alikuw konyo aisee
 
Mwenda zake ndo ameipanda imeota wazi wazi mpaka kampeni alipiga kwa kilugha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitusemee wa tz "telling the truth is not a crime" ukabila ulizidi we musukuma
 
Wewe ni msukuma?
 
Kwa hiyo Ccm kuwa na wafuasi wengi kanda ya ziwa ndio mnaipendelea?
Hata vyama vingine vya upinzani wanaweka viongozi wa juu wa kanda ya ziwa kwenye vyama vyao.
Nimetoa mfano pia kipindi cha kampeni,wagombea Urais wa vyama hivi vikubwa,kanda ya ziwa anaweza kwenda kufanya kampeni zaidi ya marambili au tatu tofauti na kanda zingine.
Hii inaonyesha kanda ya ziwa uwenda kuna kitu uko si kwa upendeleo huu.
 
Tatizo ilikuwa kuwakosa wachaga waliojiita ni wasomi sana nchi hii kwa certificate za chuo cha kodi na ajira za CRDB. Munatuchosha bhana! KIla siku tujadili yale yale! Mbona humtaji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora?
 
Huko kwenye Mashirika ya Umma, Taasisi za Serikali na Wakala wa Serikali ni balaa. Kuanzia Wakuu wa Taasisi mpaka mameneja. Wote ni Mgosha.

Ila taratibu taratibu watafyekelewa mbali.
 
Tatizo ilikuwa kuwakosa wachaga waliojiita ni wasomi sana nchi hii kwa certificate za chuo cha kodi na ajira za CRDB. Munatuchosha bahana! KIla siku tujadili yale yale! Mbona humtaji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora?
Mama umelazilishwa kuja kujadili umuache mmeo peke yake?
 
Usitusemee wa tz "telling the truth is not a crime" ukabila ulizidi we musukuma
Hapana..ila nakemea hiyo roho ya ubaguzi aliyo nayo mleta mada..tuwe wazalendo..ukiona mtu anakaa chini anaanza kukagua viongozi waliopo madarakani ni wa Kanda gani, kabila gani au dini gani..ujue huyo amejaa roho ya ubaguzi.tunaimani kwenye nchi yetu viongozi hawachaguliwi kwa misingi ya dini, kabila au ukanda..Bali uwezo wao kwenye kazi husika, uzoefu na elimu yao..Kama kuna mapungufu ya kibinadamu..Basi serikali iyarekebishe mapema
Ila ndugu zangu Watanzania tuache kuzungumza ukabila, udini au ukanda..hii mbegu ikiota itakuwa mbaya kwa mustakabali wa taifa letu
 
Wewe

Wewe ni mku.ndu kuwaka kweli, hivi unawafahamu hawa makabila yao;
1.Waziri wa afya-Dorothy Gwajima
2.Waziri wa Madini- Dotto Biteko
3.Mkurugenzi wa NEC-Wilson Mahera
Kama hujui uliza
Wasukuma wote hao. Au unataka kusema ni Wazaramu?
 
Upendeleo wa wazi unakaguliwa ?
 
Ubaguzi ulianzishwa na wateule kwa kujiona wao ni bora na wanamamlaka kuliko wengine
 
Bashi Bashite,aka Paulo Makonda ingawa jamaa hakumtaja lakini katuaomba tuongeze na sisi tunaowajua.
Huyu Hana sifa ,Ana sifa mbaya na alighushi vyeti,Jiwe alifukuza watu wote wenye vyeti feki lakini Bashite hakuguswa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…