Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

lazima awe celebrity sio aokotwe toka chini kabisa

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
kumbe uselebriti nao ni qualification. Kule kuna mambo ya kitaalamu ya taaluma husika, selebriti awe na kashule pia. pale idarani kuna vijana wasomi haswa kuwaongoza wale inabidi mhusika awe yeye pia kachangamka kielimu na matendo ya taaluma
 
Yaani Watanzania tuna shobo kishenzi utadhani hao wote una undugu nao.Kwanza hicho cheo kifutwe tu maana hakuna la maana zaidi ya kutumalizia Kodi,Shida kibao umeme tunashindwa kurepea mitambo,halafu tunawaza msemaji,msemaji,kwani akisema waziri au Mama mwenyewe haitoshi kusema serikali imesema??
mkuu kunywa maji punguza makasiriko...makasiriko yanafupisha maisha na kuchuja asidi nyingi kwenye matumbo yako, asidi hiyo inaua seli za uhai wa mwili...kwa hiyo penda Maisha punguza makasiriko... msemaji ni kacheo muhimu serikali nyingi duniani hata za first world zinako haka kacheo. si kila Mtu ana art ya kusema na umma. ile ni art jumlisha taaluma na ndio maana watu wanakaa darasani miaka mitatu hadi sita kusomea mass communication and public relations.
 
mkuu Juntwa maji punguza makasiriko, makasiriko yanafupisha maisha. msemaji ni kacheo muhimu serikali nyingi duniani hata za first world zinako haka kacheo. si kila Mtu ana art ya kusema na umma. ile ni art jumlisha taaluma ado maana watu wanakaa darasani miaka mitatu hadi sita kusomea mass communication and public relations

Basi apewe Mwin jaku mkuu.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika namna positive ili 'kutuliza upepo'.

Hapa chini nimefikiria majina ya baadhi ya wananchi wanaoweza kufit katika wadhifa huu muhimu. Nimezingatia sifa zao za uzungumzaji na ushawishi. Wote wako vizuri kwenye kuzungumza na hadhira. Kama ifuatavyo:-
1. Deodatus Balile
2. Salim Kikeke
3. Neville Meena
4. Eshe Muhidin
5. Ayoub Rioba
6. Yahaya Mohamed
7. Badra Masoud
8. Dotto Bulendu
9. Hamisi Dambaya
10. Sakina Datoo

Hawa ni baadhi tu ya watu ambao nawaona wanaweza kuface situation na challenges zinazoambatana na wajibu huu mkubwa...

Mengine yanayoweza kufikiriwa ni:-
1. Dkt. Dotto Paul
2. Innocent Mungy
3. Fred Herbet
4. Nurdin Selemani
5. Jafar Haniu
6. Shaban Kisu
Aaah bana, wampe mdudu nyang'anyang'a au mwambulukuku au wote wawili kwa pamoja.
 
Ongeza Nguruwe pori Bugatti
 
Back
Top Bottom