Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika namna positive ili 'kutuliza upepo'.

Hapa chini nimefikiria majina ya baadhi ya wananchi wanaoweza kufit katika wadhifa huu muhimu. Nimezingatia sifa zao za uzungumzaji na ushawishi. Wote wako vizuri kwenye kuzungumza na hadhira. Kama ifuatavyo:-
1. Deodatus Balile
2. Salim Kikeke
3. Neville Meena
4. Eshe Muhidin
5. Ayoub Rioba
6. Yahaya Mohamed
7. Badra Masoud
8. Dotto Bulendu
9. Hamisi Dambaya
10. Sakina Datoo

Hawa ni baadhi tu ya watu ambao nawaona wanaweza kuface situation na challenges zinazoambatana na wajibu huu mkubwa...

Mengine yanayoweza kufikiriwa ni:-
1. Dkt. Dotto Paul
2. Innocent Mungy
3. Fred Herbet
4. Nurdin Selemani
5. Jafar Haniu
6. Shaban Kisu
baruan muhunza yule jamaa ni hatari
 
KiGEZO ni masyers degree,kikeke ana diploma tu
 
Umewasahau wale wadada wawili wa itv, na ivona wa azam tv
 
Kwani ofisi ya msemaji wa serikali haina watu ambao wanastahili
 
Back
Top Bottom