Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

lazima awe celebrity sio aokotwe toka chini kabisa

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
kumbe uselebriti nao ni qualification. Kule kuna mambo ya kitaalamu ya taaluma husika, selebriti awe na kashule pia. pale idarani kuna vijana wasomi haswa kuwaongoza wale inabidi mhusika awe yeye pia kachangamka kielimu na matendo ya taaluma
 
mkuu kunywa maji punguza makasiriko...makasiriko yanafupisha maisha na kuchuja asidi nyingi kwenye matumbo yako, asidi hiyo inaua seli za uhai wa mwili...kwa hiyo penda Maisha punguza makasiriko... msemaji ni kacheo muhimu serikali nyingi duniani hata za first world zinako haka kacheo. si kila Mtu ana art ya kusema na umma. ile ni art jumlisha taaluma na ndio maana watu wanakaa darasani miaka mitatu hadi sita kusomea mass communication and public relations.
 

Basi apewe Mwin jaku mkuu.
 
Aaah bana, wampe mdudu nyang'anyang'a au mwambulukuku au wote wawili kwa pamoja.
 
Ongeza Nguruwe pori Bugatti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…