Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Jichanganye 😂🙏🙏🙏Umenisanua lililojema zaidi... Asante sana
Jichanganye 😂🙏🙏🙏Umenisanua lililojema zaidi... Asante sana
Tupe mbinu za kuepuka hayo yoteMbona mie hivyo vyote nimeviepukaa, au mie sio binadamu wa kawaida?
🤣🤣🤣🤣Na baridi la uyole hapa, yatakuwa matikiti kweli 🤭Jichanganye 😂
Kwani ardhi ipo uyole tu, si hata dodoma unalima 😂🤣🤣🤣🤣Na baridi la uyole hapa, yatakuwa matikiti kweli 🤭
🤭Ngoja nikalime zabibu kule aiseeKwani ardhi ipo uyole tu, si hata dodoma unalima 😂
Mtu anagonga Mkeka 45k baada ya hapo analiwa mwezi mzima hola.Kamari sasa ndo imegeuzwa njia kuu kwa vijana kuingiza kipato. Kuna mabonanza ya wachina, kubeti makampuni kibao kwenye simu matangazo yao mpaka yanaboa, na madude mengine mengi ambayo yote ni pata potea
Wahi chap🤭Ngoja nikalime zabibu kule aisee
Hahahaha nimejifunza kwa sasa heri nikope mwaka mmoja Tu mambo ya kukopa miezi 48 au 72 NI ulofa..unazaa mtoto mpk anaanza la kwanza bado nmb wanakukulaNilijua nimepona vyote ila nikakumbuka NMB inavyoninyosha🤕
Hii ni hatari kwa afya Mkuu🤣🤣Hahahaha nimejifunza kwa sasa heri nikope mwaka mmoja Tu mambo ya kukopa miezi 48 au 72 NI ulofa..unazaa mtoto mpk anaanza la kwanza bado nmb wanakukula
Kama umesikia wakenya wakiimba utakubali haya kizaz kimeozaUlevi
Kamari
Zinaa
Riba
Nimetaja kwa jumla sana hapo juu sasa ngoja nichambue kidogo.
Nyimbo siku hizi vitoto vyote vinaimba tena nyimbo zenyewe ni za kishenzi na kishetani haswa. Mbaya zaidi waliotakiwa kukomesha ndiyo kwanza wanaahidi kupaisha nyimbo hizo eti zienee na kutambuliwa ulimwenguni kote
Movie siku hizi ni bandika bandua na siyo zile za part 1 na part 2 za Kigosi kavaa kanzu anataka kuoa mke wa pili au Jenifer na stori ya Lipamba tena bali ni series za kishenzi shenzi. Kila mwanamama au kijana anawaza muendelezo wa filamu anayofuatilia unatoka lini
Mabenki kila siku yanakuja na mbinu mpya za mikopo na hapo ndo kila mtu anajikuta ana sifa na anastahili kuchukua mkopo. Taasisi za mikopo nazo ni kama uyoga huko mitaani. Kuna mikopo ya vitu nayo ni balaa mfano simu za mikopo "zinawaua" vijana na wamama vijijini
Kuna mikopo ya vyombo, nguo, vifaa vya ndani, biashara ndogo, pembejeo, na kadhalika yaani chochote unachotaka ni wewe tu. Mikopo hii kwa namna watu wanavyoichangamkia walahi litakufa jitu
Kamari sasa ndo imegeuzwa njia kuu kwa vijana kuingiza kipato. Kuna mabonanza ya wachina, kubeti makampuni kibao kwenye simu matangazo yao mpaka yanaboa, na madude mengine mengi ambayo yote ni pata potea
Kila siku kunabuniwa ulevi mpya au staili mpya ya kutumia vilevi utaona siku hizi sherehe zimekuwa nyingi kwelikweli na ili ionekane ilifana basi vilevi vya kutosha
Ni kama vile kuna mtaalamu ameviweka stoo vitu hivi anaachia kimoja baada ya kingine. Yaani bila kupaza sauti nchi na ulimwengu kwa ujumla unakwenda kuwa wa hovyo kabisa miaka ya mbeleni huko
Ila God is good nimeotea scholarship full funded ikiwa na monthly allowance nzuri so nikirud nitakuta nimeshamalizana nao kina nmb.nije kuanza tena upya nivute mwingine maana ndo lengo uteseke mpk mwishoHii ni hatari kwa afya Mkuu🤣🤣
Hongera sana mkuu,umefikia hatua nzuri sana... kwahiyo ni mwendo wa to abroad 👊Ila God is good nimeotea scholarship full funded ikiwa na monthly allowance nzuri so nikirud nitakuta nimeshamalizana nao kina nmb.nije kuanza tena upya nivute mwingine maana ndo lengo uteseke mpk mwisho
Very soon Nina kama week nne Tu za kumalizia malizia bia za tz then terminal 3Hongera sana mkuu,umefikia hatua nzuri sana... kwahiyo ni mwendo wa to abroad 👊
Hongera, utakuwa huko kwa muda gani?Very soon Nina kama week nne Tu za kumalizia malizia bia za tz then terminal 3
😂"BALANGULU"Wewe ni mngoni-mndendeule ndiyo maana huna baya.Ukija mjini uniletee balangulu.
Mchawi sumu za ukungu tu "NORDOX 72 WP"🤣🤣🤣🤣Na baridi la uyole hapa, yatakuwa matikiti kweli 🤭
😊 Naogopa kwa kweli....labda nijaribuMchawi sumu za ukungu tu "NORDOX 72 WP"
Ni kuwa idle tyuuhTupe mbinu za kuepuka hayo yote
Na mangatungu nakuleteaa.Wewe ni mngoni-mndendeule ndiyo maana huna baya.Ukija mjini uniletee balangulu.
Kweli kabisa na ndio kuishi kulivyo hakuna sababu ya kuwa na hofuWakati mwingine mnakompliketi mno mambo, take it easy.
Maisha ni hayahaya