mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,879
- 45,894
Wooiiiii!!Ni kuwa idle tyuuh
Wooiiiii!!Ni kuwa idle tyuuh
Mabwakuuuuu!! 😂😂😂😂Wooiiiii!!
Kuna baadhi ya watu wanaogopa maisha hatari, sijui wanafikiri wataishi milele!?Kweli kabisa na ndio kuishi kulivyo hakuna sababu ya kuwa na hofu
Ni kweli lkn maisha ya hali ya chini nayo yanaumizaKuna baadhi ya watu wanaogopa maisha hatari, sijui wanafikiri wataishi milele!?
Nitarudi sa100 kabakisha mwaka mmoja kama atakuwa hai..One year for their language 3 for the course..ila jukwaani tutaendelea kuwa pamoja 🤣 badilisha location Tu ID Ile ileHongera, utakuwa huko kwa muda gani?
Okay, pamoja mkuuNitarudi sa100 kabakisha mwaka mmoja kama atakuwa hai..One year for their language 3 for the course..ila jukwaani tutaendelea kuwa pamoja 🤣 badilisha location Tu ID Ile ile
Hpa mzee baba umetetea namba 3Kila kitu kwa kiasi, ikishazidi kawaida ni hatari.
Umeshawahi kuyaonja maisha ya juu? Hayaumizi? Binadamu hutamani kile asichokuwa nacho. Usilolijua ni kama usiku wa giza.Ni kweli lkn maisha ya hali ya chini nayo yanaumiza
Kwanini namba 3 mkuu?Hpa mzee baba umetetea namba 3