Majinamizi yanayomaliza watu, hususani vijana na akina mama

Kama umesikia wakenya wakiimba utakubali haya kizaz kimeoza
 
Ila God is good nimeotea scholarship full funded ikiwa na monthly allowance nzuri so nikirud nitakuta nimeshamalizana nao kina nmb.nije kuanza tena upya nivute mwingine maana ndo lengo uteseke mpk mwisho
Hongera sana mkuu,umefikia hatua nzuri sana... kwahiyo ni mwendo wa to abroad 👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…