Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

harisha ugoro wote wa kijani leo ila kituo cha polisi cha matope hakiwezi kubadilika na kuwa cha tofali kwa kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu.
 
Huna fact zaidi ya kuokota okota tu ujinga humu [emoji23][emoji23][emoji23]
harisha ugoro wote wa kijani leo ila kituo cha polisi cha matope hakiwezi kubadilika na kuwa cha tofali kwa kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu.
 
Na hapa wapi Mkuu? Kwa Jirani?
View attachment 1213518
Hahaa! 😀 Kibao chenyewe kinakuambia mengi. Kwamba hawa ni watu ambao wamejipanga, ukiona kibao mtu huwa anatafuta 'arrow' kisha unaendelea na safari yako kulingana na sehemu ambayo inaashiria. Liboi Police Station ndio hii hapa. Hizi ndio rangi rasmi za vituo vya Kenya Police.
 
Unategemea nini kama polisi wenyewe ndio wanapiga siasa za chama, hebu cheki hii video
Hii ni hatari! Wakenya tushukuru Mungu kwamba katiba mpya ilileta vitu kama IPOA(Independent Police Oversight Authority) taasisi huru la ku'police the police'. La sivyo vitu kama hivi vingekuwa vinatukwaza sana. Siku hizi polisi wana uoga wa kufanya uhuni kwasababu wanajua wapo kwenye darubini la IPOA.
 
joto la jiwe SI hapa mshukiwa akiwekwa ndani kazi Ni kukojolea ukuta Hadi akatoroka 😂😂😂😂
 
Sasa ikawaje wakakaa humo mzee? [emoji23] [emoji23]
 
Namuambia anipe source aliko otoa hizo picha hataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefuatilia hizo picha ni za miaka iliyopita
Meanwhile kibera bado ipo hivo hivo flying toilets .
Nchi iliyo sawa kimaendeleao na USA hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Namuambia anipe source aliko otoa hizo picha hataki [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefuatilia hizo picha ni za miaka iliyopita
Meanwhile kibera bado ipo hivo hivo flying toilets .
Jombaa, hiyo picha ya kwanza kwenye mada ni ya hivi majuzi tu, hiyo ya pili ndio ya zamani kidogo. Wakati udongo bado upo fresh. [emoji1]
 
Thibitisha na mimi nitathibitisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Jombaa, hiyo picha ya kwanza kwenye mada ni ya hivi majuzi tu, hiyo ya pili ndio ya zamani kidogo. Wakati udongo bado upo fresh. [emoji1]
 
Nakusubiri uthibishe nikuumbue hapa ili ujue sio kila mtu ni mbumbumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema picha ni za juzi ukimaanisha zimepigwa juzi.

Ma CCM kazi kupinga hata Ebola wanapinga kuwa haipo Tz.
 
Tuletee za sasa wewe unayepinga..
Nakusubiri uthibishe nikuumbue hapa ili ujue sio kila mtu ni mbumbumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema picha ni za juzi ukimaanisha zimepigwa juzi.

Ndugu yako kasema hapo juu hizo pic ni za juzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri aseme zii nimletee hadi tarehe ambayo hizo picha zilipakiwa Mtandaoni na pia hadi sehemu alikotoa hizo picha yeye akazileta humu, wewe kaa kando tupishe kwanza.
Tuletee za sasa wewe unayepinga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…