Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

Nimemwambia athibitishe anaruka ruka tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu kua unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kureply,hakuna sehemu yeyote niliyosema kua hiyo picha ni edited,mimi nimekuuliza wewe kua umethibitisha kua hiyo picha sio edited? au lugha ya Kiswahili kwako ni tatizo?
😕😕😕 Nithibitishieni kwamba mna akili timamu.
AFANDE+KITUONI.jpg
 
N

Naona akili yako ulikua umeshaikoki kubishana toka mwanzo tu! hakuna aliyebisha bali uliulizwa kua umethibitisha picha sio edited? ungejibu toka mwanzo ungepungukiwa na nini? au ulikua huna jibu ndio umelipata sasa hivi baada ya kuhangaika kulitafuta?
 
Hawa jamaa wana akili fupi mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameenda kuokota picha sijui za mwaka gani,
Hivi anavofungua nyuzi za kijinga hivi au anataka na sisi tufungue nyuzi za nyumba za polisi kenya tena za mwaka huu.

Ulileta ujuaji na ubishi wa nini, kama ulijua mapema kwamba huna hoja ya maana? Nilikuwa nayo tangu mwanzo na nikakueleza wazi kwamba muda sio mrefu yataeleweka tu. In a game of poker always play your best cards close to your heart.- Words of a wise man.
 
Ghafla imekuwa kweli kwamba ni kituo cha polisi. Sasa najua utaniambia nithibitishe kwamba hizo sare za huyo afisa sio za mtumba.
 
Ulileta ujuaji na ubishi wa nini, kama ulijua mapema kwamba huna hoja ya maana? Nilikuwa nayo tangu mwanzo na nikakueleza wazi kwamba muda sio mrefu yataeleweka tu. In a game of poker always play your best cards close to your heart.- Words of a wise man.
Naona unajificha kisha una anza kujitafuta wewe mwenyewe! halafu ukijipata unajipongeza!
 
Ukiwa kwenye denial lazima utakua hvo...lkn km wewe akili zako sio mgando, unajifanyia uamuzi wala husubirii mtu yyte yule akuamulie au atoe tamko ndio umuamini....basi utajibiwa kw zarau
Kama lengo lake ni hilo basi ilibidi akili kwanza kua hafahamu kua hiyo picha ni OG au edited,lakini badala ya kujibu swali nae anauliza swali! hiki ni kichekesho na ni tafsiri ya mtu asiyejiamini.
 
Duh!!naanza kushuku uwezo wako wa kufikiri...
Manake huo mjengo ungelikua wa maana usingeliuliza hilo swali...
Nadhani wajanja wameshanielewa
Swali huonekana ni la kijinga ikiwa limesomwa na mjinga,uandishi wako tu unaonesha kabisa kua wewe ni mtu wa aina gani,badilika bado unayo nafasi.
 
Kwhyo hicho kituo wakijua..lkn sai kumejengwa mjengo mkali sana...
Au ilkua wamaanisha nn
Hawa jamaa wana akili fupi mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameenda kuokota picha sijui za mwaka gani,
Hivi anavofungua nyuzi za kijinga hivi au anataka na sisi tufungue nyuzi za nyumba za polisi kenya tena za mwaka huu.
 
Watumie akili yani hela zote zile wanazopata wanazipeleka wapi badala ya kurekebisha vituo vyao
 
Swali huonekana ni la kijinga ikiwa limesomwa na mjinga,uandishi wako tu unaonesha kabisa kua wewe ni mtu wa aina gani,badilika bado unayo nafasi.
An idiot is an idiot and you are one. Hata ukilia hapa ndio uonewe huruma tutakuita idiot. Wacha kuuliza maswali za kijinga.
 
Back
Top Bottom