Majirani, na nyie mna hili tatizo la Wazungu kuhudumiwa vizuri na kunyenyekewa kuzidi natives (white privelege)

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Habari zenu Wakenya

Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana.

Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi kali sana yenye msimamo.

Mitaani pia nako case ni hio hio, whenever kuna mzungu basi utaona watu wakifanya effort kujichanganya nae, kumsalimia, n.k.

Hii inapelekea wazungu hasa huko youtube kusema Tanzanians are very friendly people.
 
Ni Shida kubwa Sana Africa mzima. Hata huku Kenya.
Sana Sana Kwa hizi eneo za Utalii. Mtu mweusi akiona Mzungu anaona tu pesa na kuanza kuhudumia waafrika wenzake vibaya.
Ukiona Wazungu wameanza kusema ati "You are very friendly people" Ujue mko na kasoro kubwa.
Huwezi wakuta wakisema hivo kuhusu Egypt, Ethiopia na Nigeria ju wanajua huko wako na Uzalendo na hawapendi ujinga.
 
Habari zenu Wakenya

Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana.

Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi kali sana yenye msimamo.

Mitaani pia nako case ni hio hio, whenever kuna mzungu basi utaona watu wakifanya effort kujichanganya nae, kumsalimia, n.k.

Hii inapelekea wazungu hasa huko youtube kusema Tanzanians are very friendly people.
Ipo hivyo Africa nzima.
 
Ha ha ha!!! Japo wazungu kama haujui kingereza unataka umhudumie fasta aondoke asianze maneno mengi...
Kuna mdada Bongo hujitoa rahisi sana kila akikamatwa na mapolisi wa usalama barabarani, hujifanya hajui Kiswahili anatiririka kingereza tena kwa lafudhi ya mbele huko, wanamuashiria aondoke tu basi.
 
Back
Top Bottom