sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Habari zenu Wakenya
Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana.
Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi kali sana yenye msimamo.
Mitaani pia nako case ni hio hio, whenever kuna mzungu basi utaona watu wakifanya effort kujichanganya nae, kumsalimia, n.k.
Hii inapelekea wazungu hasa huko youtube kusema Tanzanians are very friendly people.