Majirani vioja vyenu vinasababisha EAC tuonekane mabogus na shithole kabisa

Majirani vioja vyenu vinasababisha EAC tuonekane mabogus na shithole kabisa

Ata mimi nilionaga, siyo waziri ni raisi kabisa (uhuru) ila hapa wanaleta unafiki wao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa Hii KOBOROI Basi tena 🤣🤣🤣🤣🤣

IMG_9218.JPG




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uwii nyasi nyingine tena kwenye umeme, hivi vyama vinavyotawala Africa Mungu atusaidie tu

Wapi umeona nyasi hapo, labda unisaidie kuona vizuri....halafu kukata utepe ni kioja cha mwaka. Kama ile ya kuzindua lift mkoa wote wa Mbeya.
 
Mkuu. So hoja yako ilikua ni mkasi tuu. ? .

Africa ni walewalee akili zetu twazijua wenyewee

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
Jombaa, wazo la kuwaunganisha umeme wanaoishi kwenye nyumba za matope ni wazo nzuri. Yaani umeme kwa kila mwananchi, kama haki yao. Ila nyinyi wauza sura na wabeba mkasi mmezidi. Mnakata utepe na kuzindua kutoka kwa transfoma, kwa nyanya hadi mnakata utepe kwenye nyumba ya mtu, utadhani ndio alizaliwa jana. Hahaha! 😀
 
Back
Top Bottom