Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Ruto juu! Kunyaland is renowned Shithole country with hunger all over!acheni upumbavu
Na Ruto juu!
Ata mimi nilionaga, siyo waziri ni raisi kabisa (uhuru) ila hapa wanaleta unafiki wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni upumbavu
Punguza povu dada.Ni saa ngapi uko online wewe? Your women are suffering.
Mkuu unazungumziaje hapo?Sasa kukata utepe kwenye nyumba ya matope kisa imewekewa umeme....
Watu wanatukana kwenye comments dunia yote
![]()
![]()
Ata mimi nilionaga, siyo waziri ni raisi kabisa (uhuru) ila hapa wanaleta unafiki wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwii nyasi nyingine tena kwenye umeme, hivi vyama vinavyotawala Africa Mungu atusaidie tuKenya did the same!
![]()
![]()
Uwii nyasi nyingine tena kwenye umeme, hivi vyama vinavyotawala Africa Mungu atusaidie tu
Boss mbona sioni Uhuru na mkasi akikata utepe?Kenya did the same!
![]()
![]()
Sasa tofauti si kukata utepe tu. Hehee.Boss mbona sioni Uhuru na mkasi akikata utepe?
Boss mbona sioni Uhuru na mkasi akikata utepe?
Tofauti....yenu ya nyasi na inahatarisha au kuwatoa kafara familia itakayoishi humo.
ya nyasi hii hapaTofauti....yenu ya nyasi na inahatarisha au kuwatoa kafara familia itakayoishi humo.
Jombaa, wazo la kuwaunganisha umeme wanaoishi kwenye nyumba za matope ni wazo nzuri. Yaani umeme kwa kila mwananchi, kama haki yao. Ila nyinyi wauza sura na wabeba mkasi mmezidi. Mnakata utepe na kuzindua kutoka kwa transfoma, kwa nyanya hadi mnakata utepe kwenye nyumba ya mtu, utadhani ndio alizaliwa jana. Hahaha! 😀Mkuu. So hoja yako ilikua ni mkasi tuu. ? .
Africa ni walewalee akili zetu twazijua wenyewee
USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO