Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Uzi wa juzi tu, kesi imeendeshwa siku ngapi?

Kesi za ma CCM hufunguliwa, zikadikilizwa na hukumu hapo hapo
 
Au Mahakama iliyomwamuru Mzee Magoma ailipe Yanga Billioni 1.5.
Mzee Magoma huwa anacheka tu ukimkumbusha hiyo hukumu.
Atazitoa wapi hizo hela wakati hana🤣🤣🤣.
Hizi mahakama zinatakiwa kutoa hukumu kulingana na mazingira.
 
Ni hatari mkuu labda wakate rufaa
 
attach hapa hiyo nakala ya Hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…