Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Sasa weee jamaa unataka kuniambia mahakama hazimo kama wewe??! Kwa mujibu wa sheria za nchi na usalama wa wananchi, sheria imetoa idhini katika mazingira yoyote tatanishi na yanayotia shaka kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama! Sasa hapa kuna double standard! Vyombo vya usalama vinatakiwa kuwa na weredi wasitaje wanaowapa taarifa (informers). Kitendo cha kuwataja ni kinyume cha sheria hiyo na mahakama wanajua hivyo! Kwahiyo nqamimi na ninaungama na wadau kuwa uzi wako ni "CHAI"
 
Kampuni gani hiyo anayoweza kuweka dau la 10mil kwa mkeka mmoja.
 
Vijamaa vyenyewe unakuta ndo vishinda vijiweni hiyo 500m hata ukoo wao mzima uchumishwe mchicha haupati, Jamaa aombe tu wamlipe 1m ila litakuwa funzo kwa wanoko wote mtaani hapo.
 
Nakala ya hukumu??
Mzee soma vizuri Uzi uelewe Mimi ni mtu wa aina gani katika hiyo kesi Mimi sihusiki na jamaa sio rafiki yangu kiufupi ni watu ambao hatuna mazoea ila baada ya kesi ndio Kila mtu anaongea yake kuhusu jamaa mtaani
 
Kutoa taarifa ni jambo la kawaida ila polisi wanawajibika kufanya uchunguzi kabla ya kumkamata mdhaniwa, hapo tatizo si la majirani.
 
Ndyo maana mm snaga shobo na umbea ya kufatilia life la mtu yangu enye sjamaliza ila dah ukute hao majamaa n day waka ajawa shka hata 1 million kwa keshi mahakama ibalanc mizania ili🤣🤣🤣 ukimuona mtu anatembea tako waz temana nae tu
 
Aisee ni hatari sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…