Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

Mimi nilishawahi kuhisiwa jambazi
 
Alijuaje kuwa hao majirani wame mripoti? Ndio ujue ujinga tena wa geshi retu ra porisi.. mtu anareta taarifa ya ki interejesia wao wanamchoma .. njaa hizi..
 
Hao majirani itabidi wamlipe huyo jamaa

Kama walikuwa na wasiwasi nayo ilitakiwa wanzie ngazi ya chini Kwa mjumbe na serikali ya mtaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…