MbwamboE
Senior Member
- Aug 14, 2024
- 184
- 300
Kilichopelekw na kuripotiw ni kuhisiwa kuwa anajihusisha na shughuli ama biashara haramuWalichoenda kukiripoti polisi ni kipi hasa? Unayo ripoti yao neno kwa neno?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichopelekw na kuripotiw ni kuhisiwa kuwa anajihusisha na shughuli ama biashara haramuWalichoenda kukiripoti polisi ni kipi hasa? Unayo ripoti yao neno kwa neno?
Sawa, nimeomba hiyo ripoti neno kwa neno. Unayo?Kilichopelekw na kuripotiw ni kuhisiwa kuwa anajihusisha na shughuli ama biashara haramu
Ishu ni serious sana.Na hao majirani lazima watandikwe Bakora 12 maana wanakosa adabu kabisa.Ndio maana TAIFA letu linazidi kuwa maskini.Na huyo Jamaa aache Kubeti.Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Unaweza kuacha kazi inayokuingizia pesa utakula nini Sasa au utakula mchangaIshu ni serious sana.Na hao majirani lazima watandikwe Bakora 12 maana wanakosa adabu kabisa.Ndio maana TAIFA letu linazidi kuwa maskini.Na huyo Jamaa aache Kubeti.
DuuhMbaya zaidi majirani pesa ya kumlipa hawana, Watauza hadi mkundv hahah
Sawa ngoja tuoneHamna kesi hapo , ninachojua mimi kuna kosa la malicious prosecution .
Hii na hadi mtu apelekwe mahakamani mahakama imkute hana hatia .
Sasa kama ishu imeishia polisi, Polisi ndio watakuwa na makosa kwa nini wamtaje mtoa taarifa za siri
Ushahidi so upo kwenye simu yake ndio maana polisi wamemuachiaHakuna kesi hapo,
Mahakamani wanahitaji ushahidi usio na shaka, jamaa ajipange kutoa uthibitisho wa kushiriki na kushinda hizo betting.
Unachanganya vitu wewe. Snowden yeye alitoa siri za nchi kwa nchi za nje lakini majirani wametoa taarifa kwa Polisi ndani nchi na sheria ya whistle blowing ni ya Tz siyo ya Marekani.Wakamuulize huyo whistle blowe maarufu Snowden alivyonusurika.
Sheria mbele ya wabobez hainaga jibu la moja kwa moja. Inategemeana na vile unavyoitafsi na kuijua madhaifu yake in correlation to other situations. Kuna loopholea kwenye kila the so called sheria
Drugs dealer??kwa hiyo jirani kutoa ripoti polisi ni vibaya?haya incase ikiwa jamaa alikuwa drugs dealer?
mahakama haitatenda haki,kwani hiyo ni kawaida kuhisi.
Anaweza kushinda hata kwa fidia ya chini ya m500Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Duuh hatariIle intelejinsia ya greengurd Iko wapi sasa😂😂😂😂.
Nchi hii 🤔.
Duuh sawaAnaweza kushinda hata kwa fidia ya chini ya m500
Ila Betting 😡😡
Na ndio maana kuna Mabalozi wa mitaa, walitakiwa walifikishe kwa balozi kisha baloz ndo alifuatilie kwa hekima likimshinda ndio alipeleke polisi.Kushitaki ni kutoa ushahidi wa tukio la kihalifu..., kutoa taarifa ni kutoa hisia kwamba huenda kuna uhalifu, kutoa taarifa ndio polisi na vyombo vya kisheria vinashauri ufanye