PostGE2025 Majizzo: Naomba sana tusapoti wasanii wetu, ni vijana wa kimaskini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mambo yaliyotokea ni Very sensitive...nawapongeza sana vijana kwa hiyo movement....hawa wanaojiita wasanii wamechangia sana kufika hapa.....mtu kama diamond hadi kawatukania watu wazazi wao leo mnaomba nini?....huyu jamaa na hao wase.nge wenzie wakale walipo peleka mboga...
 
Wasanii waliwadharau sana watanzania, walisahau bila watanzania kuwafanya maarufu, hao watawala wasingewajua na kuwatumia kwenye siasa zao.

Wengine walienda mbele zaidi hadi kuwazodoa watanzania kwa kuwaambia wafanye kazi waache kulalamika.

Ugumu wanaoupata sasa, kama wanazo akili watajua ni kwa kiasi gani watawala wao hawaungwi mkono. Kama hao watawala wangekuwa wanaungwa mkono na wengi, leo wasingekuwa wanalia waungwe mkono.
​
 
Serikali ina mkono mrefu,

wale wenye hali mbaya wachukuliwe wahifadhiwe,
waliahidi Kwa vinywa vyao kwamba wako pamoja na mama
 
Go to hell nendeni mkapate sapoti za watu 32
 
hao dancers, wapa lip stick n.k wachukue wakadance kwako uwalipe, hatutaki dharau za *******, mashamba yapo mengi waende wakalime, sio lazima kudance, ukiona ni lazima basi adance kwa mkewe, au kwa baba yake alipwe, qumanina zenu
 
CCM wana wanachama miliomi14. Hivi hawa hawatoshibli support mziko
 
Hakuna kustream ,hakuna kusapoti bidhaa ambazo wapo endorsed ,hakuna kuhudhuria show , hakuna kusupport biashara zao!
Kmamaee zao ,haijapita hata miezi miwili ,washaanza toa milio .....na bado ,kubwa hivi mbinu ni effective ,sasa nasema hivi mbinyo uendelee mpaka waanze kuokota Makopo barabarani..Shenzi takataka kabisa
 
Wapiga kura 31mls wa mama wanatosha Kununua mziki wote Tanzania tuachane na wahuni wa Gen z
 
Wamewaambia vijana wenzao wafanye kazi, wameamua kufanya kazi tena wanataka waache kazi waende kwenye mziki.
 
Majizo ameukuta muziki tayari watu wametoa jasho yeye kuwa na media hakumpi u special wowote. Hao wasanii walijifanya wanaweza kuishi bila fans wao sasa waende abroad kufanya shows. Bongo hatuwataki na hatutasapoti kazi zao.
Huu ni ukweli wa wazi kabisa huyu fala hana lolote lile la kutushawishi wabongo bora angekuwepo the late Ruge Mtahaba, Japo naye pia asingetushawishi lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…