Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Wee siku hizi unakaelewa hako kademu kweli?
Useme ukweli ndivyo alivyokuwa zamani huyo, kama ndoa ndo hivyo basi kazi ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmh basi sawa....yetu macho[emoji848][emoji848]Yukoje... Mi naona kabadilika now kawa mcha Mungu.. Hata human hair havai tena.
Mi naona hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipokosea ni wapi? Lini alijitapa utajiri!?Hahaa hakuna Mtu Anaye mchukia ruge ... kwanza kama ulikuwa haujui mimi nathamini sana mchango wake alionao katika jamii
.lakini hilo halimaanishi kwamba tuache kukosoa pale ambapo ali/walionyesha kukosea katika life style yao
Sent using Jamii Forums mobile app
wakiwa wazima wa afya wanajifanya wanambwembwe na kujisifu kuwa wana mshiko, wakiugua wanajifanya kujishusha na kutuomba michango walala hoi. wasanii wa bongo vituko kama wa US tu,,,, GOFUNDME
Hahaa katumia senti lakini sio ml 600 ... alikuwa anaendekeza sana mahitaji ya kichwa cha chini huyo .... so mali zake nyingi kaishia kuwanufaisha ma slay queen tu ..... hakuwa anajua kuwa haba na haba hujaza kibabaUchawi siyo mpaka upige manyanga, Chuki mlizonazo ni uchawi tosha.
Basi tufanye hajatumia hata senti yake, umeridhika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ruge tajiri wa kutupwa?Basi sawa.Naomba nkuulize swali Numby.. Hivi ruge pamoja na kuwa tajiri wa kuogopwa leo hana hata nyumba ya kisasa au hata ghorofa aliuze badala ya kutembeza bakuli jamani.. Mi hata sielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajua nini bwana umetoka kwenu sitimbi huko .hata ukoko wa shingo bado haujakutoka still unanuka jasho la beberu.... habari za mjini kama hizo utazijulia wapi !"Alipokosea ni wapi? Lini alijitapa utajiri!?
Kosa lake ni kuitwa Boss!? Kwani huyo aliyekuajiri hapo gengeni siyo Boss wako?
Naona chuki, wivu na roho mbaya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaa, umekula lkn?Wewe unajua nini bwana umetoka kwenu sitimbi huko .hata ukoko wa shingo bado haujakutoka still unanuka jasho la beberu.... habari za mjini kama hizo utazijulia wapi !"
Au ndio unataka tuanze kukuhabarisha kijanja !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anaumwa nini hadi matibabu yafikie huko na pengine bado hela inahitajika.Mkuu...ishu iko hivi, mpaka sasa zaidi ya milioni 500 zimetumika ukiondoa misaada!
Je kama ni zake lkn clouds wakajifanya wamemlipia?
Na unakuta hana tena cash zaidi ya assets, na assets umuuzie Nani fastafasta akupe 1b ili ujitibie? Tuwe wakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zaidi ya uchawi Kumchukia na kumuonea wivu mgonjwa, basi umweni nyie tuwachangie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unacheka hahaa mwehu weee .... yaani unavyo dhihirisha kuwa unanuka shida Akili yako bado inawaza kula kula tu .... yaelekea kipato chako ulichonacho kinakuwezesha kumudu kula tu pekee .....
I bet itakuwa umeuza mechi ... mimba ni yaruge hiyo umemsingizia mumeo .... sasa ukitazama ruge now anaumwa basi unazidi kuchanganyikiwa kicha kina waka moto kama jiko la gesi ....
Hivi naweza kupata shamba hapo Vikindu?Unacheka hahaa mwehu weee .... yaani unavyo dhihirisha kuwa unanuka shida Akili yako bado inawaza kula kula tu .... yaelekea kipato chako ulichonacho kinakuwezesha kumudu kula tu pekee .....
Wenzio tumeshatoka huko tunawaza next time vocation IBIZA
Sent using Jamii Forums mobile app