Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Halafu ndoa ndo kimyaaa kirefu,zile tetesi za kipigo zitakua za ukweli.

Aliuza nguo kwa maslah yake tu

Lulu akubali asikubali enzi zile alikua anatumia akili za Muna. Saiv maskin hadi huruma kaporomoka kisa kubembeleza ndoa
Yule itakuwa aliuza kwa maslahi yake!

Mbona hatuoni hizo pesa alichofanyia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukumu mbaya ila labda ni njia ya mkato ya kumkata zamaradi na mirija yote ya kupatia pesa kupitia ruge. Maana bidada kama ni pesa anazichota za maana kisingizio watoto kumbe malezi ya bwana wake
 
Ndio hicho ambacho mimi nimekiona watu wameamua kumgeuza fursa ...dahh mbaya Sana hii ...nadhani wameshahisi kuwa jamaa hatoweza ku survive ...kama ataweza ku survive kweli then anakuja kukuta Kwamba walimdhalilisha kwa kum changia michango ...aise sijui atakuwa na hali gani kifikira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kuna harufu ya michezo hapa ktk hii michango...I smell honey badger anal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…