MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Burundi wameaibisha sana. Major; Major wa Jeshi!!! Major gani wa jeshi la nchi anavaa gum-boots zinazouzwa na machinga ilhali yupo uwanja wa mapambano?View attachment 3267817
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba.
Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
Kuna kosa gani?!Major anavaa gunboots 😀😀😀
Bro, mi sijawahi kukupa habari za mchingo. Kwa cheo chake, yeye ni kamanda. Ambush kwani ni nini? Kumbuka wapipo sasa si mapolini ni kwenye makazi ya watu.Burundi wameaibisha sana. Major; Major wa Jeshi!!! Major gani wa jeshi la nchi anavaa gum-boots zinazouzwa na machinga ilhali yupo uwanja wa mapambano?Halafu inaelekea haikuwa ni uwanja wa mapambano. Mbona gumboots alizovaa ni safi kiasi hicho au mapigano yalikuwa ni kwenye barabara ya lami?? Major wa mchongo huyo. Mbona mabegani hakuna viashiria vya cheo chake?
Haiwezekani. Rais wake atawajibike, vinginevyo atamkana mbere ya kadamnasiSawa,aachiwe huru sasa
Mmmh! Mkuu; Hizo gum-boots walimsaidia kuzisafisha matope halafu wakampa nafasi ya kuoga na kuvaa kombati safi kabla ya kumpiga picha? Aisee mbona mnatulisha matango pori??Kuna kosa gani?!
Uvaaji wa gunboots ni kwasababu za kimazingira eneo alilopo nilatope unataka avae boots za kawaida?!
Hari imbonerakure kitaramenyekana igitigiri zarasiwe mu kibira n'abantu bataramenyekana,igihe zariko zirahabwa inyigisho za gisirikare,kugira ngo zice zitwarwa i #Buvira muri #Congo.Haje abantu biyoberanije bafise inkoho zikomeye niko kubarasa.Irabandanya. Source: RabinBurundi wameaibisha sana. Major; Major wa Jeshi!!! Major gani wa jeshi la nchi anavaa gum-boots zinazouzwa na machinga ilhali yupo uwanja wa mapambano?Halafu inaelekea haikuwa ni uwanja wa mapambano. Mbona gumboots alizovaa ni safi kiasi hicho au mapigano yalikuwa ni kwenye barabara ya lami?? Major wa mchongo huyo. Mbona mabegani hakuna viashiria vya cheo chake?
Kwamba unaamini jeshi linakosa boots ya kijeshi?!Mmmh! Mkuu; Hizo gum-boots walimsaidia kuzisafisha matope halafu wakampa nafasi ya kuoga na kuvaa kombati safi kabla ya kumpiga picha? Aisee mbona mnatulisha matango pori??
Inawezekana; lakini jamaa (huyo afande)anaonekana mtanashati, uso unang'aa na wakamataji wake(Wapiganaji) hawaonekani japo jirani kumlinda asitoroke. Yan ni kama mtu yupo kwenye Interview au mahojiano fulani hivi. Hana wasiwasi kabisa.Bro, mi sijawahi kukupa habari za mchingo. Kwa cheo chake, yeye ni kamanda. Ambush kwani ni nini? Kumbuka wapipo sasa si mapolini ni kwenye makazi ya watu.
Umeambiwa na nani walipo huko ni msimu wa mvua?Mmmh! Mkuu; Hizo gum-boots walimsaidia kuzisafisha matope halafu wakampa nafasi ya kuoga na kuvaa kombati safi kabla ya kumpiga picha? Aisee mbona mnatulisha matango pori??
Hawana haja ya kuingia huko. Uliza kwanza, wale waliokwenda mission ya SAMIDRC wako wapi? Leo mwezi wa ngapi?M23 naomba muingie tanzania tupate matokeo ya darby kuhusu jeshi letu kila siku likiambiwa ndio jeshi namba moja duniani.
Wengine matomaso maana wanavyo pasua matofari siku za maadhimisho ya jeshi na kubeba mizigo mikubwa utazani wapo store ya kubebea magunia
Soma hapo juu komenti # 6Umeambiwa na nani walipo huko ni msimu wa mvua?
Nadhani unapomuona hana siraha.Inawezekana; lakini jamaa (huyo afande)anaonekana mtanashati, uso unang'aa na wakamataji wake(Wapiganaji) hawaonekani japo jirani kumlinda asitoroke. Yan ni kama mtu yupo kwenye Interview au mahojiano fulani hivi. Hana wasiwasi kabisa.
Huyo achana nae. Macho hayakupi!! Hata hapo alipoketi hapana dalili za matope. Za nyuma ya kapeti ni kwamba hakukuwa kwenye uwanja wa vita(kama ntaeleweka vizuri). Warundi, Wazalendo na FDLR wapo maeneo ya makazi, ni kama kulikuwa na patrol, hakukuwa kwenye direct confrontation. M23 iliweza kupenya maeneo hayo, hawa wakashitukia wanamiminiwa risasi. Senior officers hawakamatwi hivi hivi, hapo imetumika akili ya ziadaSoma hapo juu komenti # 6