MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba.
Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
Halafu inaelekea haikuwa ni uwanja wa mapambano. Mbona gumboots alizovaa ni safi kiasi hicho au mapigano yalikuwa ni kwenye barabara ya lami?? Major wa mchongo huyo. Mbona mabegani hakuna viashiria vya cheo chake?