Inafikirisha sana. Yan M23 wanaweza kuwa na utu kiasi hicho kwa mtu ambaye ni adui yao? Hatima yake itakuwaje? manake sijawahi sikia kama M23 wanachukuaga POWs.Nadhani unapomuona hana siraha.
Pili, taarifa zote hazitoki ofisini, zingine za kuibia ibia tu.
Tatu, yupo katika mikono salama hakuna wa kumdhuru. Kumbuka yeye ni commander, mpaka kufikia cheo chake, kuoga na kupumzika ni harari yake. Anatumia kichwa kuliko nguvu(mwili).
Mpaka sasa watu wanajua wanapigana na M23 kwa shinikizo la uongozi wao tu, lakini ukweli wanaujua kuwa si mgambo. Kila mmoja lazima ajiokoe. Lakini pia, kumbuka. Kwenye kurushiana risasi, haiwezekani walinzi wote wakakimbia, pengine na adversary lazima apoteze. Huyo ni mtu mkubwa jeshini ujueKwahiyo baada ya mkuu kupigwa risasi ya mguu walinzi wakaamua kuokoa maisha yao na kutokomea kusikojulikana.
Hawa M23 ni moto wa kuotea mbali ukienda kichwa kichwa unarudishwa kwenu bendera iko juu ya jeneza
Unefafanua vyema mkuu. Sasa imeeleweka.Huyo achana nae. Macho hayakupi!! Hata hapo alipoketi hapana dalili za matope. Za nyuma ya kapeti ni kwamba hakukuwa kwenye uwanja wa vita(kama ntaeleweka vizuri). Warundi, Wazalendo na FDLR wapo maeneo ya makazi, ni kama kulikuwa na patrol, hakukuwa kwenye direct confrontation. M23 iliweza kupenya maeneo hayo, hawa wakashitukia wanamiminiwa risasi. Senior officers hawakamatwi hivi hivi, hapo imetumika akili ya ziada
Kumbuka hawa wanahitaji attention ya ulimwengu mzima. Wasipotumia akili ya ziada wameisha. Pili, ukiachilia mbali hawa. Wanajeshi wa SAMIDRC waliokamatwa mateka, M23 imekuwa ikiwahudumia, japo na serikali zao kwa sasa zina budget kwa ajili yao. Mara mbili, jitihada za kuwanasua ziligonga mwamba. Na bado wanaishi vizuri tu.Inafikirisha sana. Yan M23 wanaweza kuwa na utu kiasi hicho kwa mtu ambaye ni adui yao? Hatima yake itakuwaje? manake sijawahi sikia kama M23 wanachukuaga POWs.
Major anavaa gunboots πππ
Sasa kinacho washangaza ni nini? Jeshini kuna mgao hadi wa gumboots, kuna mazingira hayafai kuvaa buti za kawaidaBurundi wameaibisha sana. Major; Major wa Jeshi!!! Major gani wa jeshi la nchi anavaa gum-boots zinazouzwa na machinga ilhali yupo uwanja wa mapambano?Halafu inaelekea haikuwa ni uwanja wa mapambano. Mbona gumboots alizovaa ni safi kiasi hicho au mapigano yalikuwa ni kwenye barabara ya lami?? Major wa mchongo huyo. Mbona mabegani hakuna viashiria vya cheo chake?
Ina mana M23 wanayo mindombinu (infrastructure) kwa ajili ya kuwahifadhi mateka wa kivita auKumbuka hawa wanahitaji attention ya ulimwengu mzima. Wasipotumia akili ya ziada wameisha. Pili, ukiachilia mbali hawa. Wanajeshi wa SAMIDRC waliokamatwa mateka, M23 imekuwa ikiwahudumia, japo na serikali zao kwa sasa zina budget kwa ajili yao. Mara mbili, jitihada za kuwanasua ziligonga mwamba. Na bado wanaishi vizuri tu.
Wala usisite kuuliza mkuu. Ninalolijua ntajibu, nisilolijua ntasema sijui, ninalo na shaka nalo, ntahakikisha nakutafutia taarifa za uhakika kwanza.Nionavyo mimi hapa tunarushiwa madongo. Hebu cheki majibu ayatoayo mleta mada utagundua kitu.
Ni kawaida mateka kupewa matunzo mazuri hasa akiwa na faidaMmmh! Mkuu; Hizo gum-boots walimsaidia kuzisafisha matope halafu wakampa nafasi ya kuoga na kuvaa kombati safi kabla ya kumpiga picha? Aisee mbona mnatulisha matango pori??
Mkuu, M23 unayoambiwa ni waasi, ni tofauti na uijuayo.Ina mana M23 wanayo mindombinu (infrastructure) kwa ajili ya kuwahifadhi mateka wa kivita au
Buti za jeshini sio sawa na zile za machinga japokuwa zaweza kufanana maumbile. Za jeshi huwa na design/mabaka-mabaka kama zilivyo kombati zao au ni za ngozi sio plastiki.Sasa kinacho washangaza ni nini? Jeshini kuna mgao hadi wa gumboots, kuna mazingira hayafai kuvaa buti za kawaida
Huyo ni mshambaKuna kosa gani?!
Uvaaji wa gunboots ni kwasababu za kimazingira eneo alilopo nilatope unataka avae boots za kawaida?!
Hata asipokuwa na faida mkuu. Kumbuka M23 ni tishio ukanda wa wasio na uwezo, lakini wale wazee wa mbali wakisema waingie, hana ubavu huo. Ndio maana inahakikisha ulimwengu utambue kuwa lengo lake siyo kuua. Na wewe ukijua watu wako wanapata huduma kama binadamu wengine, huwezi kuwa na attention kubwa. Mfano hai, hata South Africa bungeni, walisema wanaishukuru M23 kwa moyo wa huruma dhidi ya wanajeshi wake, ambao waliua wenzao, lakini inawahudumia.Ni kawaida mateka kupewa matunzo mazuri hasa akiwa na faida
Waw! Kumbe M23 wamejipanga. Hivi mkuu; itakuwaje ile deal ya DRC na Marekani wakianza utekelezaji??Mkuu, M23 unayoambiwa ni waasi, ni tofauti na uijuayo.
-Nimesema hapo juu, lazima iwazibe watu midomo. Ikikamata na kuua, kuna uwezekano wa kutumiwa wanaoizidi uwezo. Hivyo lazima ihakikishe watu wanaiamini. Ukilinganisha na miaka au siku za nyuma, sasa hivi utasikia wasitishe mapigano, hakuna aliyewahi kuomba waachie maeneo waliyokwisha twaa.
Hivyo sasa, hawa wakikamatwa, usafiri upo wa uhakika, ni Bukavu mjini(kwa Kivu kusini), au Goma, huko Kivu kaskazini. Huduma za afya huko zinaendelea, na hospitali za jeshi kwenye kambi zinatoa huduma kama kawaida.
Ana jeraha la risasi mguu wa kulia.ndio maana hajavaa buti za kijeshi.Major anavaa gunboots πππ
Mleta mada anaficha uhalisia wa wao kupata kulegeshewa walipo wanajeshi na wacongo ambao ni wasalitiNionavyo mimi hapa tunarushiwa madongo. Hebu cheki majibu ayatoayo mleta mada utagundua kitu.
Haiwezekani.Waw! Kumbe M23 wamejipanga. Hivi mkuu; itakuwaje ile deal ya DRC na Marekani wakianza utekelezaji??