Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Sasa Brigedia na Major General nani Mkubw?Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
Obviously Jenerali kapigwa parking.Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
Hongera kwake kwa uteuzi!!
Hao uliowataja hawakuwa wakuu wa Jeshi.Kazi kwelikweli inaonesha umezaliwa baada ya Vita vya Kagera
mambo ya kuomba hela hata awe Kambini ataomba mpaka na chakula
Hebu jiulize wakina Mayunga, Kimario, Marwa hawa walikuwa na vyeo vikubwa Jeshini lkn walipewa Mikoa
Mbona ni Jambo la kwaida mwanajeshi au askari wa cheo chchte anapokutana na mwanasiasa yyte ambae nafasi yake ni ya uteuzi wa raisi anamsalimia kijeshi Yani salute, hio haina maan yule ni mkubwa wake kiprotocalDuuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Kimsingi ndio kabadilishiwa majuku na kupewa nafasi ya kisiasa lakini kuhalisia kiprotocal nafasi ya ukuu wa chombo cha usalama na u RC ni kubwa ile ya kuwa boss wa JKT.....ni sawa na kamishna andengenye yule mkuu wazimamoto alietolewa na magufuli kwene lile sakata na lugola,..alipotolewa pale juu akapewa mkoa(RC) Sasa how do u promote mtu alieshindwa kwene nafasi unachofanya unamtoa kwene ile ngazi kubwa unampeleka ngazi ya uongozi ya kawaida kwa heshima kubwa aliyonayo kufwatana na cheo chake cha kijeshiDuuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Kupewa mkoa ni njia nzuri ya kufungwa break. JKT jamaa enzi ya JPM akipata masifa ya miererani mara Ikulu na alivyokuwa anajua kujikunja na salute yake ya kikorea.Kazi kwelikweli inaonesha umezaliwa baada ya Vita vya Kagera
mambo ya kuomba hela hata awe Kambini ataomba mpaka na chakula
Hebu jiulize wakina Mayunga, Kimario, Marwa hawa walikuwa na vyeo vikubwa Jeshini lkn walipewa Mikoa
Yeah major general ni two star general wakati brigadier ni one star generalMajor General ni mkubwa kuliko Brigedier General.
Kuwasiliana na raisi moja kwa moja sio ukubwa....Yani uanze kufananisha mkuu wa jeshi la JKT nchi nzima na RC wa mkoa ur jokingMkuu wa JKT huwasiliana na Rais kupitia kwa CDF, wakati mkuu wa mkoa huwasiliana na rais moja kwa moja! Tofauti kubwa kabisa, labda tusema anapunguzuiwa influence jeshini.
Kwenye Law Hii Tunaita Silent Demotion MkuuHiyo ni demotion mkuu wala huhitaji akili kubwa. Mkuu wa mkoa hata hela anaomba kwa wakurugenzi wa halmashauri
Bila shaka huyo jamaa ni wewe!Nani anakumbuka upandaji wa vyeo kwa huyu Major General Charles Mbuge!!....Paul Makonda analijua sana hili jambo
Huyu jamaa alizingua sana akiwa Mkuu wa JKT alikuwa anawachukia sana Makamanda waliokwenda shule na alipenda sana kuwaweka vibaraka wake kwenye nafasi mbalimbali JKT, professionalism kwa huyu Kamanda ilikuwa zeero kabisa!!
Kuna jamaa alimchukia sana kisa hakuenda kumpongeza alivyopandishwa cheo na mwendazake. Akaamua kumtupa Kigoma and then wakati wenzake wanapandishwa vyeo mwezi wa 2 kuwa Ma-Major jjna la huyo jamaa akalinyofoa makusudi tu kwa sababu ya chuki zake binafsi . Kwahiyo wenzake wamekuwa Ma-Major yeye bado ni Captain. Huyu jamaa yuko kambi ya Mtabila Kigoma na ni Msomi mzuri tu.
Acha karma imle!!!
Kuwasiliana na raisi moja kwa moja sio ukubwa....Yani uanze kufananisha mkuu wa jeshi la JKT nchi nzima na RC wa mkoa ur joking
Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
Ni baada ya kumwambia Magufuli kwa ukakamavu JESHI HALISHINDWI!Nani anakumbuka upandaji wa vyeo kwa huyu Major General Charles Mbuge!!....Paul Makonda analijua sana hili jambo
Faraja kazini.R C ni cheo cha heshima na majukumu mengi zaidi ya mkuu wab jkt pia RC alipo anamwakilusha Rais direct
Mkuu wa jkt hatoi ajiraIssue ya vurugu ya wale watoto wa JKT wa Mkataba imemgharimu,
pia alipandishwa kwa kasi sana kutokea pale ruvu akiwa Kanali 2016