Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

Hiyo ni demotion mkuu wala huhitaji akili kubwa. Mkuu wa mkoa hata hela anaomba kwa wakurugenzi wa halmashauri
Hakuna RC aombaye fedha kwa Wakurugenzi - RC anatekeleza majukumu yake kupitia fedha za OC ambazo ziko chini ya RAS kama Afisa Masululi wa Mkoa

Fedha hizi huletwa kila mwezi
 
Umesema sidhani Kama ameenda shule hvyo humfahamu..

Kisha unasema alikuwa ana msnitch cdf

Wabongo bwana mtu hajui ila anatengeza story umejuaje Kama alikuwa anam snitch na wskati mbuge mwenyewe humjui bali una mdhania
 
Sawa bwana mbuge.
 
Cheo cha Mkuu wa JKT ni nafasi ya kiuongozi wa kitafa na huwa moja tu wakati Mkuu wa Mkoa ni cheo cha watu zaidi ya mmoja katika taifa. Kwa mtazamo huu naweza kusema huyu mwamba ameporomoka cheo.
Kwani ameshuka rank yake?
Hayo ni majukumu yamebadilika tu, na kapangiwa Mtwara kimkakati sababu ya mipakani kitotulia
 
Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.

Hongera kwake kwa uteuzi!!
Kwa taarifa tu ni kuwa cheo cha mkuu wa mkoa hapa Tanzania ni sawa na waziri
 
Awezi kushuka cheo ndugu. Anabaki na cheo chake hivyohivyo. Labda wadhifa kupungua. Mkoa na JKT. Nikweli Command sio sawa na mkoa. Command ya JKT ni kubwa sana, karibu mkoa 18 na vikosi karibu 28
 
Hivi unadhani ungechangia hicho unachokijua bila kuitana mjinga usingeeleweka?

Kumbuka mtoa mada ameuliza swali ili kila mmoja aeleze mtazamo wake kuhusu hili suala na mchango wangu ndo mtazamo wangu na si ujinga.

Hata hivyo yakupasa ufikirie upya katika hoja yako kwani Mkuu wa JKT hana mipaka bali anabaki kuwa mkuu popote pale alipo katika nchi tofauti na Mkuu wa Mkoa anapotembelea mikoa mingine.
 
Lengo lake halijatimia
 
Kinachonishangaza kila mchangiaji kwenye hii mada anamjadili Charles Mbuge kama Major General wakati ukweli ni kwamba cheo chake alichonacho hadi dakika hii ni Brigadier General na wala siyo Major General.
 
Lini Mbuge alipandishwa na kupata hicho cheo cha Major General?
 
Kinachonishangaza kila mchangiaji kwenye hii mada anamjadili Charles Mbuge kama Major General wakati ukweli ni kwamba cheo chake alichonacho hadi dakika hii ni Brigadier General na wala siyo Major General.
Pale kilaza anapotaka kujifanya mjuaji

Kinachoshangaza ni kujifanya mjuaji badala ya kuuliza kwa hekima ili upate jibu

Tayari jibu tushakupatia au tukudadavulie na hii picha?
 
Tunachojuwa ana uhakika wa V8, ac ofisini, chai na mapochopocho. Bila kusahau mshahara na "maisha bora" kuliko sisi, mengine tupa kule..
 
Kwa taarifa tu ni kuwa cheo cha mkuu wa mkoa hapa Tanzania ni sawa na waziri
Kwanini walikuwa wanakimbia ukuu wa mkoa kwenda kwenye ubunge?
Wakuu wa mikoa wapo chini ya wizara ya Tamisemi- Ummy Mwalimu
 
Kwanini walikuwa wanakimbia ukuu wa mkoa kwenda kwenye ubunge?
Wakuu wa mikoa wapo chini ya wizara ya Tamisemi- Ummy Mwalimu
maslahi tu ndio tatizo.

mshahara,posho za vikao,pesa ya jimbo,pesa ya gari,kiinua mgongo 400mln baada ya 5yrs[emoji23][emoji23]
 
Kinachonishangaza kila mchangiaji kwenye hii mada anamjadili Charles Mbuge kama Major General wakati ukweli ni kwamba cheo chake alichonacho hadi dakika hii ni Brigadier General na wala siyo Major General.
Kulifanyika makosa wakarekebisha bado ni Meja General rank yake akaandikwa gaguti na rank ya gaguti akaandikwa Mbughe

Baaadae wakatoa Tena taarifa upya
 
Brigedia Mbungo aliyekuwa Takukuru ndio atapewa hii nafasi ya kuwa mkuu jkt. Ni swala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…