Majumba marefu huko Gaza yanaporomoshwa na nashambulizi ya IDF!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Majengo marefu huko Gaza leo hii yameangamizwa baada ya uchunguzi kuonyesha yana kamera Zinaowasaidia magaid wa hamas kuyashambulia majeshi ya Israel.

Baada ya janja ya magaidi wa hamas kujulikana majengo hayo yameangamizwa bila huruma

Sio lazima kupenda picha za uharibifu. Lakini kile ambacho huwezi kukiita ni "bila kubagua."

Magorofa haya yalikuwa yanatumika na Hamas kama kituo cha kijeshi. IDF ilijulisha kila mtu mapema, ikaamuru kuhamishwa, na hata wafanyakazi wa vyombo vya habari waliwekwa nje na tayari kupiga filamu wakati itatokea.

Attachments

  • telegram_video.mp4
    11.6 MB
Kwanini Hamas isiwaachie wale mateka waliobaki kama condition muhimu ya kusecure a cease fire?

Mijamaa haina hata huruma ya wanawake na watoto wanaouawa daily. Sijui ni akili gani hizi
Israel inataka kuwaondoa kabisa Hamas kwa kuuteka mji wa Gaza uwe chini ya himaya yake...swala la kuwaachia mateka Hamas walikubali lakini Israel wana masharti mengine zaidi.
 
Ki ukweli yahudi ana roho ya kikatili sana

Cha ajabu kobazi hawajifunzi Bado kuna siku tena watamchokoza tu
 
Israel inataka kuwaondoa kabisa Hamas kwa kuuteka mji wa Gaza uwe chini ya himaya yake...swala la kuwaachia mateka Hamas walikubali lakini Israel wana masharti mengine zaidi.
Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mnapenda sana kusema uongo na kupotosha habari!!! Israel ilishasema kwa sasa haitaki mtindo wa kupimana akili kwa kuwaachia Mateka mafungu mafungu na sasa inataka Mateka wote 48 waachiwe kwa Pamoja na Magaidi wa Hamas waondoke madarakani sasa tatizo la magaidi wanatamani waendelee kuikalia Gaza kitu ambacho Israel haikubaliani nacho.

Hamas wao walikubali kuwaachia Mateka lakini wao wabakizwe waendelee kutawala Gaza kitu hicho Israel haitaki kabisa maana wanajua magaidi hao wakiachwa watakuja kusababisha Oct 07 nyingine ndiyo maana inataka kuwafuta kabisa huko Gaza!!
 
Tatizo la israel na Palestin ni ardhi na sio swala la kidini.
15% ya IDF ni waislam,,,na 18% ya pupulation ya israel ni waislam,, 2% ni christian.
Huo mji wa Gaza na christians pia wapo japo ni wachache.
 
Acha uongo wewe hamas hawataki kuwaachia mateka wote wanataka kuwaachia mateka kwa mafungu kitu ambacho Israel imekataa .. condition ni mbili achia mateka wote kwa wakati mmoja na hamas waondoke hapo Gaza, vinginevyo kipigo kitaendelea.
 
Majengo marefu huko Gaza leo hii yameangamizwa baada ya uchunguzi kuonyesha yana kamera Zinaowasaidia magaid wa hamas kuyashambulia majeshi ya Israel.

Baada ya janja ya magaidi wa hamas kujulikana majengo hayo yameangamizwa bila huruma

Sio lazima kupenda picha za uharibifu. Lakini kile ambacho huwezi kukiita ni "bila kubagua."

Magorofa haya yalikuwa yanatumika na Hamas kama kituo cha kijeshi. IDF ilijulisha kila mtu mapema, ikaamuru kuhamishwa, na hata wafanyakazi wa vyombo vya habari waliwekwa nje na tayari kupiga filamu wakati itatokea.

View attachment 3466104
View attachment 3466106
hivi mpaka Leo majengo bado yapo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mnapenda sana kusema uongo na kupotosha habari!!! Israel ilishasema kwa sasa haitaki mtindo wa kupimana akili kwa kuwaachia Mateka mafungu mafungu na sasa inataka Mateka wote 48 waachiwe kwa Pamoja na Magaidi wa Hamas waondoke madarakani sasa tatizo la magaidi wanatamani waendelee kuikalia Gaza kitu ambacho Israel haikubaliani nacho.

Hamas wao walikubali kuwaachia Mateka lakini wao wabakizwe waendelee kutawala Gaza kitu hicho Israel haitaki kabisa maana wanajua magaidi hao wakiachwa watakuja kusababisha Oct 07 nyingine ndiyo maana inataka kuwafuta kabisa huko Gaza!!
Mkuu kwa kila aliyetazama kijana yule wa Kitanzania alivyouawa dhidi ya HAMAS. Hakika hawezi kuingiwa na huruma dhidi ya HAMAS unless uwe mfia dini kama wafanyavyo wapuuzi wengine.
 
Wale
Tatizo la israel na Palestin ni ardhi na sio swala la kidini.
15% ya IDF ni waislam,,,na 18% ya pupulation ya israel ni waislam,, 2% ni christian.
Huo mji wa Gaza na christians pia wapo japo ni wachache.
Wale watanzania waliouliwa na HAMAS wanahusika vipi na mgogoro wao wa ardhi?
 
waliuwawa wakiwa wapi? watu wengi sana hasa upande wa Gaza wameuwawa na hawakua Hamas wala raia wa Palestina,hivyo ndivyo inavyotokea katika vita kuwahusisha waliokuwemo na wasio.
 
Back
Top Bottom