Pride Kiabakari
Member
- Sep 10, 2024
- 29
- 67
Kwa ambao hatukuwepo enzi Berlin conference ushuhuda ni huo Israel kuchukuwa ardhi kw lazima na Rusia kuchukua ardhi ya Ukraine na marekani kuitaka Venezuela na China kuitaka Taiwan n.k wakimaliza huko watakuja Tz na nchi nyingi za Africa watakuja na hatutawafanya chochote japo enzi hizo Babu zetu akina Kinjekitile Ngwale.Mkwawa.Isike.Mirambo na Abushiri walijaribu lkn walishindwa hivyo ni swala la muda tu mwenye nguvu mpishe njia na hamna cha haki za binadamu watu wanataka rasilimali