Israel inataka kuwaondoa kabisa Hamas kwa kuuteka mji wa Gaza uwe chini ya himaya yake...swala la kuwaachia mateka Hamas walikubali lakini Israel wana masharti mengine zaidi.Kwanini Hamas isiwaachie wale mateka waliobaki kama condition muhimu ya kusecure a cease fire?
Mijamaa haina hata huruma ya wanawake na watoto wanaouawa daily. Sijui ni akili gani hizi
Mateka ndio Kinga Yao na ndio wanawatumia kupata mahitaji Yao wakiwaachia basi wote wanapotezwa kirahisi.Kwanini Hamas isiwaachie wale mateka waliobaki kama condition muhimu ya kusecure a cease fire?
Mijamaa haina hata huruma ya wanawake na watoto wanaouawa daily. Sijui ni akili gani hizi
Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mnapenda sana kusema uongo na kupotosha habari!!! Israel ilishasema kwa sasa haitaki mtindo wa kupimana akili kwa kuwaachia Mateka mafungu mafungu na sasa inataka Mateka wote 48 waachiwe kwa Pamoja na Magaidi wa Hamas waondoke madarakani sasa tatizo la magaidi wanatamani waendelee kuikalia Gaza kitu ambacho Israel haikubaliani nacho.Israel inataka kuwaondoa kabisa Hamas kwa kuuteka mji wa Gaza uwe chini ya himaya yake...swala la kuwaachia mateka Hamas walikubali lakini Israel wana masharti mengine zaidi.
Tatizo la israel na Palestin ni ardhi na sio swala la kidini.Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mnapenda sana kusema uongo na kupotosha habari!!! Israel ilishasema kwa sasa haitaki mtindo wa kupimana akili kwa kuwaachia Mateka mafungu mafungu na sasa inataka Mateka wote 48 waachiwe kwa Pamoja na Magaidi wa Hamas waondoke madarakani sasa tatizo la magaidi wanatamani waendelee kuikalia Gaza kitu ambacho Israel haikubaliani nacho.
Hamas wao walikubali kuwaachia Mateka lakini wao wabakizwe waendelee kutawala Gaza kitu hicho Israel haitaki kabisa maana wanajua magaidi hao wakiachwa watakuja kusababisha Oct 07 nyingine ndiyo maana inataka kuwafuta kabisa huko Gaza!!
Acha uongo wewe hamas hawataki kuwaachia mateka wote wanataka kuwaachia mateka kwa mafungu kitu ambacho Israel imekataa .. condition ni mbili achia mateka wote kwa wakati mmoja na hamas waondoke hapo Gaza, vinginevyo kipigo kitaendelea.Israel inataka kuwaondoa kabisa Hamas kwa kuuteka mji wa Gaza uwe chini ya himaya yake...swala la kuwaachia mateka Hamas walikubali lakini Israel wana masharti mengine zaidi.
hivi mpaka Leo majengo bado yapoMajengo marefu huko Gaza leo hii yameangamizwa baada ya uchunguzi kuonyesha yana kamera Zinaowasaidia magaid wa hamas kuyashambulia majeshi ya Israel.
Baada ya janja ya magaidi wa hamas kujulikana majengo hayo yameangamizwa bila huruma
Sio lazima kupenda picha za uharibifu. Lakini kile ambacho huwezi kukiita ni "bila kubagua."
Magorofa haya yalikuwa yanatumika na Hamas kama kituo cha kijeshi. IDF ilijulisha kila mtu mapema, ikaamuru kuhamishwa, na hata wafanyakazi wa vyombo vya habari waliwekwa nje na tayari kupiga filamu wakati itatokea.
View attachment 3466104
View attachment 3466106
Mkuu kwa kila aliyetazama kijana yule wa Kitanzania alivyouawa dhidi ya HAMAS. Hakika hawezi kuingiwa na huruma dhidi ya HAMAS unless uwe mfia dini kama wafanyavyo wapuuzi wengine.Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mnapenda sana kusema uongo na kupotosha habari!!! Israel ilishasema kwa sasa haitaki mtindo wa kupimana akili kwa kuwaachia Mateka mafungu mafungu na sasa inataka Mateka wote 48 waachiwe kwa Pamoja na Magaidi wa Hamas waondoke madarakani sasa tatizo la magaidi wanatamani waendelee kuikalia Gaza kitu ambacho Israel haikubaliani nacho.
Hamas wao walikubali kuwaachia Mateka lakini wao wabakizwe waendelee kutawala Gaza kitu hicho Israel haitaki kabisa maana wanajua magaidi hao wakiachwa watakuja kusababisha Oct 07 nyingine ndiyo maana inataka kuwafuta kabisa huko Gaza!!
Wale watanzania waliouliwa na HAMAS wanahusika vipi na mgogoro wao wa ardhi?Tatizo la israel na Palestin ni ardhi na sio swala la kidini.
15% ya IDF ni waislam,,,na 18% ya pupulation ya israel ni waislam,, 2% ni christian.
Huo mji wa Gaza na christians pia wapo japo ni wachache.
Kauli mbiu maarufu ya CCM! 'Mkiwachagua Wapinzani, wataleta vita'!Vita Ni Mbaya Sana
waliuwawa wakiwa wapi? watu wengi sana hasa upande wa Gaza wameuwawa na hawakua Hamas wala raia wa Palestina,hivyo ndivyo inavyotokea katika vita kuwahusisha waliokuwemo na wasio.Wale
Wale watanzania waliouliwa na HAMAS wanahusika vipi na mgogoro wao wa ardhi?