pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 737
- 1,590
hawakudadavua kama itakuwa saa 10 ya huku kwetu au huko kwao! Yote kwa yote mda utaongea kila kituSi walisema exchange itaanza saa 10 jioni, mbona wewe unaharakisha hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawakudadavua kama itakuwa saa 10 ya huku kwetu au huko kwao! Yote kwa yote mda utaongea kila kituSi walisema exchange itaanza saa 10 jioni, mbona wewe unaharakisha hivyo.
Shukran akhi.Hata haya huoni? Hilo "hekaru" lilivunjwa na Waislam au na warumi? Lilivunjwa Mamia ya miaka kabla hata hajaja Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Na alipokuja na Waislam wakapewa ardhi ile kutoka kwenye mikono ya warumi ,dini ya Nabii Sulayman (Amani iwe juu yake), Uislam, ikasimamishwa tena katika ardhi ile tukufu. Na hata hao mayahudi waliokuwa pale wakaishi kwa amani kuliko walipokuwa chini ya warumi.
Na Jerusalem ilikuwa chini ya Waislam kwa miaka mingapi kabla hao mazayuni hawajaja kuanzisha dola yao katika ardhi ile, mpaka useme Waislam ndio wanataka kujenga "hekaru" lao kwa nguvu? Kama kwamba ni wao ndio walifukuzwa Ulaya na Wazungu wakristo na wakawakuta mazayuni pale.
Halafu ni Waislam ndio wana haki zaidi na Sulayman (Amani iwe juu yake) kuliko mayahudi, bali wana haki zaidi kwa Musa (Amani iwe juu yake) na Mitume wote wa Bani Israil (Amani iwe juu yao) kuliko mayahudi ambao waliwakataa wote na kuwafanyia vitimbi, waliwatukana na wengine wanawatukana (ikiwemo Sulayman) mpaka leo, na wengine waliwaua kabisa. Na wakaikataa dini aliyowachagulia Allah wakatengeneza dini yao kwa matamanio ya nafsi zao.
6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa
Kama hataki akae na Palestina na Hamas akae na mayahudi. Nani atashindwa?Waislamu 3 kwa Myahudi 1
Hapo ishaoneka a wa thamani nani
Kusimamisha au cease sio withdrawIsrael Kakubali masharti yote ya Hamas
1 Hakuna kurusha ndege zake
2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu [emoji1]
3 vifaru vyao visitingishike
4 mateka 150 kwa 50
5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South
6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa
Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
sasa hamas agome kutoa mateka , kitakachomkuta atasimuliaIsrael Kakubali masharti yote ya Hamas
1 Hakuna kurusha ndege zake
2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu [emoji1]
3 vifaru vyao visitingishike
4 mateka 150 kwa 50
5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South
6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa
Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
kwan wao wanaish mbingun?Ina maana kuna na wanajeshi wa NetNyau walitekwa na Hamasi huko
Kuna muingereza mfukuaji alifukua hapo miaka ya nyuma,hakuna ushahidi wowote wa hekalu la Suleiman,wazayuni wakamtishia maishaSuleiman kajenga Hekaru la Mungu wake Yhwh and he minded his own business when he built it... Ghafra waislam wanaibuka na wanalazimisha kujenga Hekaru la mungu wao Dogon jùu ya hekaru ilo.
na wapo tayari kuua yoyote anaewapinga!!.
mshaanza tunga story na pale kitaya mlichinja watu walikuwa mashushuu wa nan?Nasikia alikuwa shushuu
Kikubwa tusiwapeleke wenetu Israelmshaanza tunga story na pale kitaya mlichinja watu walikuwa mashushuu wa nan?
Kuridhika. Waislam wanajua maisha yao yapo huko..mateka na wakimbiza wa huko Gaza wana hali nzuri kuliko middle class wa hapa Tanzania.
Kuridhika. Waislam wanajua maisha yao yapo huko
Hapa wanaambiwa hawajasoma. Labda waliosoma ndio wanawafanya waislam wawe na maisha hayo..mbona Waislamu wa hapa kwetu, tena middle class, hawana muonekano[mavazi,siha] mzuri kama Waislamu wenzao wanaopigwa mabomu huko Gaza?
Hapa wanaambiwa hawajasoma. Labda waliosoma ndio wanawafanya waislam wawe na maisha hayo
Wanaukumbi.
BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA.
Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15.
Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel.
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya kijeshi ya Ofer.
Baada ya Shirika la Msalaba Mwekundu kuwapokea mateka Wapalestina, wale kutoka Jerusalem wataenda Jerusalem na wale wa Ukingo wa Magharibi watakusanyika katika baraza la manispaa ya Betunia ambako familia zao zitakuwa zikisubiri.
mnaabudu shetan, hata quran inasema siku za mwisho yatatokea haya ya shetan kuwatesa watu wasio mfuata , kuwaua hata kuwanyima hudumq za msingi , kwq siku za karibun uislam umeshamir hz tabiaKikubwa tusiwapeleke wenetu Israel
Haaaaaaa, wewe zero brain kweli, mkiambiwa muende shule hamtaki! Ugaidi ukishatokea, yoyote anayeingia kwenye 18 anatekwa maelezo itakuwa mbele kwa mbele, huyo atakuwa ameuawa na mabomu ya Israel , lakini unaposema alikuwa shushu unaharibu taswira ya nchi yetu kuwa Tanzania tulituma shushu kwenda Israel na siyo kusoma, hii ni hatari kwa diplomasia na nchi za Kiarabu. Thibitisha kuwa alikuwa shushu wa Israel!Lazima wataachia. Majeshi yao wanalalamika wanapigana na majini