Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

Shukran akhi.
 
Kusimamisha au cease sio withdraw
Mstari wa mbele uko pale pale.

Principle za vita usidhani ziko sawa na mashindano ya mchezo wa mpira.
 
sasa hamas agome kutoa mateka , kitakachomkuta atasimulia
 
Suleiman kajenga Hekaru la Mungu wake Yhwh and he minded his own business when he built it... Ghafra waislam wanaibuka na wanalazimisha kujenga Hekaru la mungu wao Dogon jùu ya hekaru ilo.
na wapo tayari kuua yoyote anaewapinga!!.
Kuna muingereza mfukuaji alifukua hapo miaka ya nyuma,hakuna ushahidi wowote wa hekalu la Suleiman,wazayuni wakamtishia maisha
 
..mateka na wakimbiza wa huko Gaza wana hali nzuri kuliko middle class wa hapa Tanzania.
 
Kuridhika. Waislam wanajua maisha yao yapo huko

..mbona Waislamu wa hapa kwetu, tena middle class, hawana muonekano[mavazi,siha] mzuri kama Waislamu wenzao wanaopigwa mabomu huko Gaza?
 
..mbona Waislamu wa hapa kwetu, tena middle class, hawana muonekano[mavazi,siha] mzuri kama Waislamu wenzao wanaopigwa mabomu huko Gaza?
Hapa wanaambiwa hawajasoma. Labda waliosoma ndio wanawafanya waislam wawe na maisha hayo
 
Hapa wanaambiwa hawajasoma. Labda waliosoma ndio wanawafanya waislam wawe na maisha hayo

..Wapalestina wanamuonekano mzuri kiafya, kimavazi, kiunadhifu, kuliko middle class wa Tz. Haijalishi huyo Mtz middle class ni Muislamu, au Mkristo.

..Nadhani Wapalestina wanatakiwa watutetee Watanzania kuliko sisi kuwatetea wao.
 

Labda ni kwa mujibu wa TBC?
 
Kikubwa tusiwapeleke wenetu Israel
mnaabudu shetan, hata quran inasema siku za mwisho yatatokea haya ya shetan kuwatesa watu wasio mfuata , kuwaua hata kuwanyima hudumq za msingi , kwq siku za karibun uislam umeshamir hz tabia
 
Lazima wataachia. Majeshi yao wanalalamika wanapigana na majini
Haaaaaaa, wewe zero brain kweli, mkiambiwa muende shule hamtaki! Ugaidi ukishatokea, yoyote anayeingia kwenye 18 anatekwa maelezo itakuwa mbele kwa mbele, huyo atakuwa ameuawa na mabomu ya Israel , lakini unaposema alikuwa shushu unaharibu taswira ya nchi yetu kuwa Tanzania tulituma shushu kwenda Israel na siyo kusoma, hii ni hatari kwa diplomasia na nchi za Kiarabu. Thibitisha kuwa alikuwa shushu wa Israel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…