Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Habari wana JF
Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (yaani ni makabila ambayo baba ni yupo kama picha ya mlinzi na mtoaji mahitaji ya familia na anahusika tu pale majukumu makubwa yanayohitaji maamuzi yametokea, mfn. Kuoza mtoto, kuuza kiwanja, vikao vya ukoo n. K). Ila mengine yte sijui ni mama ndio msimamizi. Familia hizi zaidi ni zike ambazo baba n mnywa pombe mama ndio mtunza familia au baba n msimamizi wa maeneo mama au wake zake ndio wakulima kuvuna na kulisha familia
Kwa kuanzia makabila haya wanawake (mama) ndio mtendaji mkuu wa familia. Naomba mengine unayoyafahamu
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wakulya
4. Waha
5. Nitajie kabila unalojua linamlengo huo au lina tamaduni hii
Revised& Edited