Makabila gani wasimamizi wa familia ni wanawake

Makabila gani wasimamizi wa familia ni wanawake

Waluguru hao mpaka ukoo wanafata kwa mama..!!
Mjomba ndio mwenye jukumu la kulea mpwa wake.!!
 
Mwanamke wa kinyamwezi na mwanaume wa kabila lingine wataenda vzr. Ila ukikuta wote wanyamwezi basi mama anakuwa na nguvu.
Huwa tunakuwa na meetings za ndugu upande wa mama, wanaume wa kinyamwezi wamezubaa hata hawana maamuzi..vikao vinaendeshwa na wamama na wana nguvu kweli kweli si utani.
Uko sahihi kabisa, sikupingi dada angu
 
Mwanamke wa kinyamwezi na mwanaume wa kabila lingine wataenda vzr. Ila ukikuta wote wanyamwezi basi mama anakuwa na nguvu.
Huwa tunakuwa na meetings za ndugu upande wa mama, wanaume wa kinyamwezi wamezubaa hata hawana maamuzi..vikao vinaendeshwa na wamama na wana nguvu kweli kweli si utani.
Sisi wanyamwezi wakiume sifa zetu ni wapole na niwakarimu na hicho kikao inategemea mlikuwa mnaongelea nini ? Sisi hatupendagi upuuzi, kwenye haki tunasimamia vzr hatujisifii.
 
Sisi wanyamwezi wakiume sifa zetu ni wapole na niwakarimu na hicho kikao inategemea mlikuwa mnaongelea nini ? Sisi hatupendagi upuuzi, kwenye haki tunasimamia vzr hatujisifii.
NI vikao tu vya kudumisha undugu. Hamchangii na hamna maamuzi. Wake zenu na dada zenu wanawaongoza
 
Umeunga mkono wahaya. Je kuna kabila jingine unaloona linamlengo huo sawa na wahaya na wasukuma na wakulya?
Kiukweli sina ushahidi wa kutosha juu ya hili. Lakini kuna pahala niliona wanasema wamwela pia wana sifa hizo. Japo sina uthibitisho juu ya hili.
 
NI vikao tu vya kudumisha undugu. Hamchangii na hamna maamuzi. Wake zenu na dada zenu wanawaongoza
Wee dada mbishi kinomer, wewe kabila gani kwanza usikute nabishana na msukuma 😂
 
Nataka kuoa ila nataka mke anayetokea ukoo ambao mama ndio msimamizi wa familia kila kitu. Lengo kupata mama anayejituma hata nyumban anawwza kulima vimajani, kamba ya nguo ikikatika anaifunga upya n. K.
NAtaka niachane na hizi koo za kuangalia azam tv 2 na sinema zetu. Kisu kikikatika hawez kurepair
Lkn mbali zaisi watoto wapate roho ya uchapakazi waombe mfano kwa mama yao mchakalikaji. Mkuu napanga team vzr uzeeni niishi vzr c unajua tena
Bila kujali kabila kama ni issue ya kuoa, tafuta mwalimu wa shule ya msingi, sekondari au chekechea. Ni wazuri kwenye uangalizi na malezi ya familia na hawana mambo mengi.
 
Sio msukuma bana😀,hii tabia nimerithi kwa wanyamwezi wa kike
Sawa mama lakini chonde chonde na unyamwezi wako fake huo usije ukamtawala mwanaume utaachwa kila siku sister yangu 😂.
 
Back
Top Bottom