Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 738
- 1,230
Hili wako mkoa gani mkuuKabila la bushoke
APpreciatedWanyamwezi
MmmmhWanyamwezi
Ndo ukanipa dislike? Why sasa wewe mnyamweziMmmmh
Hahahaha ndio maana yake nakushangaa unaliponda kabira languNdo ukanipa dislike? Why sasa wewe mnyamwezi
Wanyakyusa umetusingiziaHabari wana JF
Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (matrilineal societies)
Kwa kuanzia makabila haya wanawake (mama) ndio mtendaji mkuu wa familia. Naomba mengine unayoyafahamu
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wakulya
4. Waha
5. Wanyakyusa
Hilo kabila lipo ndani ya makabila mikoa yoteHili wako mkoa gani mkuu
Sidhani kama wachaga ni matrilineal na wengine hapo,,,,,kuna makabila sawa wanawake wanaweza wakawa na nguvu kwenye familia ila sio matrilineal.......matrilineal ukoo wa mtoto anafata kwa mama (ujombani)Habari wana JF
Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (matrilineal societies)
Kwa kuanzia makabila haya wanawake (mama) ndio mtendaji mkuu wa familia. Naomba mengine unayoyafahamu
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wakulya
4. Waha
5. Wanyakyusa
Nataka kuoa ila nataka mke anayetokea ukoo ambao mama ndio msimamizi wa familia kila kitu. Lengo kupata mama anayejituma hata nyumban anawwza kulima vimajani, kamba ya nguo ikikatika anaifunga upya n. K.unataka desa? unalipwa? kama unalipwa itabidi tugawane hela nikupe majibu
Mkuu nmekaa uchagani miaka 6 nimezunguka vijiji vingi hawa nauhakika nao sana na waarusha. Wameathiriwa zaidi na wakenya kwsbb wanapakana ndio maana nahs wako hvyoWatoe wachaga hapo, labda kwa wachaga waliathirika na ulevi ambao hao ni wachache kulinganisha na wachaga wanaojitambua.
Habari wana JF
Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (matrilineal societies)
Kwa kuanzia makabila haya wanawake (mama) ndio mtendaji mkuu wa familia. Naomba mengine unayoyafahamu
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wakulya
4. Waha
5. Wanyak
Sijajua mkuu hizi data umezitoa wapi. Lakini kuweka sawa hapa "Haya" is never a materenial society, labda kama una tafsiri binafsi, ama ni story tuHabari wana JF
Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (matrilineal societies)
Kwa kuanzia makabila haya wanawake (mama) ndio mtendaji mkuu wa familia. Naomba mengine unayoyafahamu
1. Wachaga
2. Wahaya
3. Wakulya
4. Waha
5. Wanyakyusa
Sawa nawatoa kwenye kundi. Asante kwa mrejeaho. Sema sasa lipi jingineWanyakyusa umetusingizia
Wewe umekaa uchagani miaka 6 mimi nimezaliwa uchagani na sasa na miaka zaidi ya 40 .Mkuu nmekaa uchagani miaka 6 nimezunguka vijiji vingi hawa nauhakika nao sana na waarusha. Wameathiriwa zaidi na wakenya kwsbb wanapakana ndio maana nahs wako hvyo
Wanawake familiar yangu hauwajui unataka kuoa ? ndio maana tunasema KATAA NDOA ukimuoa anakuletea visa mgombane then adai talaka mgawane Mali ulizopamba kwa jasho lako. 😂Nataka kuoa ila nataka mke anayetokea ukoo ambao mama ndio msimamizi wa familia kila kitu. Lengo kupata mama anayejituma hata nyumban anawwza kulima vimajani, kamba ya nguo ikikatika anaifunga upya n. K.
NAtaka niachane na hizi koo za kuangalia azam tv 2 na sinema zetu. Kisu kikikatika hawez kurepair
Lkn mbali zaisi watoto wapate roho ya uchapakazi waombe mfano kwa mama yao mchakalikaji. Mkuu napanga team vzr uzeeni niishi vzr c unajua tena