Makabila gani wasimamizi wa familia ni wanawake

Waluguru hao mpaka ukoo wanafata kwa mama..!!
Mjomba ndio mwenye jukumu la kulea mpwa wake.!!
 
Uko sahihi kabisa, sikupingi dada angu
 
Sisi wanyamwezi wakiume sifa zetu ni wapole na niwakarimu na hicho kikao inategemea mlikuwa mnaongelea nini ? Sisi hatupendagi upuuzi, kwenye haki tunasimamia vzr hatujisifii.
 
Sisi wanyamwezi wakiume sifa zetu ni wapole na niwakarimu na hicho kikao inategemea mlikuwa mnaongelea nini ? Sisi hatupendagi upuuzi, kwenye haki tunasimamia vzr hatujisifii.
NI vikao tu vya kudumisha undugu. Hamchangii na hamna maamuzi. Wake zenu na dada zenu wanawaongoza
 
Umeunga mkono wahaya. Je kuna kabila jingine unaloona linamlengo huo sawa na wahaya na wasukuma na wakulya?
Kiukweli sina ushahidi wa kutosha juu ya hili. Lakini kuna pahala niliona wanasema wamwela pia wana sifa hizo. Japo sina uthibitisho juu ya hili.
 
NI vikao tu vya kudumisha undugu. Hamchangii na hamna maamuzi. Wake zenu na dada zenu wanawaongoza
Wee dada mbishi kinomer, wewe kabila gani kwanza usikute nabishana na msukuma 😂
 
Bila kujali kabila kama ni issue ya kuoa, tafuta mwalimu wa shule ya msingi, sekondari au chekechea. Ni wazuri kwenye uangalizi na malezi ya familia na hawana mambo mengi.
 
Sio msukuma bana😀,hii tabia nimerithi kwa wanyamwezi wa kike
Sawa mama lakini chonde chonde na unyamwezi wako fake huo usije ukamtawala mwanaume utaachwa kila siku sister yangu 😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…