Makabila gani wasimamizi wa familia ni wanawake

Mkuu wachaga 60% wanaume wamekufa hawa wakibosho, wauru, waoldmoahi na wamachane waliojaa mbuyuni na memoria wanawake wanafanya nn au mimi niko biased sana kwenye kupna
Wewe unachanganya mambo...
Hao unaowaona Mbuyuni, memorial....Iko hivyo tangu enzi...

Mwanamke wa Kichagga hasa Mama zetu wanapenda sana kujishughulisha...siyo watu utawakuta wamekaa tu kibarazani kama kina Mwafudenge wakizogoa...
 
@mwafudenge_wakizogoa😂😂😂😂
 
Mkuu wachaga 60% wanaume wamekufa hawa wakibosho, wauru, waoldmoahi na wamachane waliojaa mbuyuni na memoria wanawake wanafanya nn au mimi niko biased sana kwenye kupna
Kwahio na wewe unataka ukafe.....
 
Loh hana hata mbuzi ni mapenzi tu
Napendaga sana wanawake wenye mapenzi ya kweli lakini asaivi Kuna matapeli hamna mapenzi ya dhati. Ndio hapo tunarudi kwenye kanuni yetu ileile MWANAUME KATAA. NDOA NI UTAPELI.
 
Napendaga sana wanawake wenye mapenzi ya kweli lakini asaivi Kuna matapeli hamna mapenzi ya dhati. Ndio hapo tunarudi kwenye kanuni yetu ileile MWANAUME KATAA. NDOA NI UTAPELI.
Ni kweli ndoa ni utapeli. Hata wanaume ambao hawana mapenzi ya kweli mpo.
Binafsi binti yangu akiniambia hataki kuolewa nitamuelewa.
 
Mkuu, nafikiri lengo lako sio kuangalia jamii zinazobase umamani/ujombani (Matrilineal society).

Lengo lako ni jamii zilizoathiriwa na mwanamke kuact kama mkuu wa kaya, mchakarikaji katika majukumu ya kuleta ugali mezani, ikitokea mwanaume yuko mbali hakuna kinachosimama.
………
1. Chaga
2. Nyakyusa
3. Kurya
4. Jaluo
5. Nyaturu
 
Wanyakyusa wanatawala sana waume zao. Wanaume hawafurukuti kabisa. Wanawaroga kabisa wanaume wanakuwa mabwege
 
Ni kweli ndoa ni utapeli. Hata wanaume ambao hawana mapenzi ya kweli mpo.
Binafsi binti yangu akiniambia hataki kuolewa nitamuelewa.
Dunia imeisha hii asaivi. Sijui tufanyeje ili hali irudi kama awali. Nachukia sana Utapeli wa mapenzi. Unadhani ninini kifanyike ili mambo yaende sawa kwenye suala la mahusiano.
 
Kabisa mzee mwenzangu, ila ni mnyamwezi wa kuchovya, hatujui hata lugha yetu 😂
Ndio maana unanibishia..wale wanya.wezi OG kabisa wapo hivyo nilivyosema😀
 
Watoe wachaga hapo, labda kwa wachaga walioathirika na ulevi ambao hao ni wachache kulinganisha na wachaga wanaojitambua.
nna jamaa yangu mchaga,mkewe ndio kila kitu,jamaa kawa kama zuzu, wachaga ni mazuzu sana kwenye nyumba zao,wanawake ndio wana sauti, hawa watani zangu bure kabisa ujanja tu wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…