Makabila gani wasimamizi wa familia ni wanawake

Absolutely
 
Sio hasa hivyo kwa makabila haya. Kuna makabila ambayo ni strictly matrilineal, yaan mama ndio anaoa, na ndiyo mpangaji na mmiliki wa kila kitu katika familia. Hapa Tanzania nafikiri Wayao kama sijakosea na makabila kadhaa kaskazini mwa Zambia, Mozambique na Malawi kama vile Wabemba. Ila kwingineka Afrika Wakikuyu wa Kenya pia ni matrilineal. Akan people wa Ghana nao.
 
Basi nenda kwa Wabemba huko Zambia na hata Wayao utaolewa kule, pengine wewe na wanaume wengine kama watatu hivi mnaweza kuolewa na mwanamke mmoja kwani hawa wanawake wana tabia ya kuoa mme zaidi ya mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…