Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

Umetokosea sana wanyakyusa tutoe hatustahili kukaa kwa hiyo list yako hapo.

Hiyo familia uliyoiona ukaifanyia research ni shida zao ila sio kigezo Cha kujumuisha wote.

Kwetu ni mwiko mkwe kwenda kwa mwanae pasipo SABABU maalumu.
Hizo mambo sanasana kwenye mikoa yenye njaa Green City chakula Cha kutosha kama wapo hata kwenye kabila zingine hawakosekani ila sio kutuweka kwenye kabila za kupiga camp kwa ndugu zao.
Mma nakamo!!!
NB: Angalia sifa za mkoa wa mbeya kijiografia na kiuchumi.
 
Umewasahau wasukuma, wazigua na wanyantuzu(hawa hata uwe na chumba kimoja, mjomba ake bibi yako naye atakuja kujibanza hapo hapo).
 
Makabila yote ya Bara la Afrika yako hivyo.
Wangapi kila siku mnaomba Connection za kufikia UK, USA na South Afrika kwa Watanzania wenzenu?. Huuu ni utamaduni wa kiafrika kuuacha na kuiga Umagharibi ni suala la muda so tusilasimishe suala hili liiishe mara moja.
Huu ujinga mnaopeana hapa kwamba tusibebane ndio Maaana Watanzania hatupigi hatua Huko Ng'ambo.
Sammata hajavuta mtu EPL wala Ubelgiji, lkn angekuwa Mnigeria angewavuta kina Msuva, Manula nk lkn kwa huu ujinga mnaojazana hapa jamvini anawabania wengine, na hao wengine wanajiskia Vibaya kwenda kufikia kwa sammatta ili watafute maisha.
Hashim Thabit kamvuta nani??
Kikeke yuko BBC kamvuta nani???
Wengine wako WB, IMF Wamevuta kina nani??
Huko BOEING kuna Mnyakyusa kafanya nini kwa watanzania???
Wote hawafanyi kitu kwakuwa vichwani wamejaza UTI wa aina hii mnayodili hapa.
NENDA NIGERIA, nenda GHANA, Nenda CAMEROON akienda Rigobert Song lazima ALEX SONG naye aende na atoboe. Akienda KANU lazima aje OKOCHA.
Nenda SERBIA akienda Simba lazima aje MZUNGU na atatoboa.
Anyway: pale kwangu Kigamboni nina Wazinza kibaoooo kutoka Nkome Mchangani mpaka Kakubilo wako Daaaslam wanasaka Maisha. Wewe na Uzungu wako kazana kushupaza shingo na Umimi wako🙏
Hahahaa wewe Jamaa unazingua.

Samatta anaweza kumsaidia vipi mtu asajiliwe EPL au Genk?

Boeing, IMF, WB hakuna undugu kule unaingia kwa uwezo wako.
 
Katika hali ya kawaida inaweza kuwa kero kwako lakini katika jicho la kibinadamu na kama Mungu amekujaalia kipato basi jitahidi kuwasaidia ndugu zako katika namna ambayo hutawadhalilisha au kuwakwaza...........

Zipo namna nyingi za kuwasaidia ndugu bila kugombana au kukwazana nao....kila mmoja ana jinsi yake ya kuyaendea maisha na kutafakari mambo yake......Kuna baadhi ya watu akili zao zimechangamka katika kuziona fursa na kuzifanyia kazi....lakini pia wapo watu ambao akili hazifanyi kazi mpaka ziamshwe kwa matendo au matukio ni hali kawaida kimaumbile kwani hatuwezi kufanana..........

Kama Mungu amekunyooshea mambo yako na una nafasi ya kumsaidia ndugu yako au hata jamaa yako wa karibu usisite kufanya hivyo kwa namna yoyote Ile ambayo itamfaa.........

Kweli maisha ni magumu vipato vyetu Wakati mwingine havikidhi mahitaji yetu lakini haimaanishi kuwa tuwatupe ndugu zetu.........

Wapo watu ambao ni wachache wa fadhila na wapo watu ambao ni wenye kushukuru na kukumbuka fadhila.....hupaswi kuhangaishwa na hayo kwani moyo wa mtu ni kiza kinene fanya wema wako kwa kadri ya uwezo wako.......

Mafanikio na hali nzuri za maisha zisitupe viburi na jeuri na kuona kuwa hatuwahitaji.....huo ni upofu wa fikra na ubinafsi......maisha ni kutegemeana na kusaidiana kwani hakuna mwanadamu anayejitegemea kwa kila kitu........asio kufaa kwa hili basi atakufaa kwa lile.......

Tuufanye wema kama kiunganishi na tuukatae ubaya kama utenganishi......

Ukubwa au udogo wa Dunia inatokana na wewe unavyoishi na binadamu wenzio......
 
Hapo Kwa wazaramo naomba mlete mzungu aongeze sauti
Kuna aina ya kwanza ya makabila wana umoja lakini sio umoja wa kuwa tegemezi kama wachaga, wakinga, wakuria, n.k yaani kama wewe ni mgeni ukienda kwa ndugu utapokelewa vizuri tu lakini itabidi uwe umeshaweka ujio wako, ratiba yako ikoje, upo mpaka lini, mipango yako, n.k. kama ni kusalimiana ni sawa kukaa hata wiki 2 ila baada ya hapo unarudi kwenye shughuli zako, sahau kuweka kambi hapo ya kudumu. kama huna shughuli na umefika hapo labda muwe mshaelewana mwenyeji wako atakusaidia mtaji na kukuzoesha mazingira ya hapo ili nawe uanze kujitegemea uwe na pako.

Kuna aina ya pili ya makabila Ukiachana na yale makabila ambayo ni mengi ambayo hayataki kabisa ndugu kqenda kuwasalimia haga tutayazungumzia siku nyingine na haya na

Ila kuna hii aina ya tatu ya makabila mengine, yaani mmoja akipata utasikia kaja baba, mama, shangazi, mjomba, mtoto wa baba mkubwa, mawifi, mashemeji, n.k yaani wote wanaenda kwa mji mmoja wa mtu mwenye familia moja wanakula na kulala hapo kisa eti wamesikia anafanya benki.😅😅 hii kitu inafanya mtu ashindwe kujikwamua kiuchumi yaani mtu mshahara laki7 au laki 5 mnamgandaa hivyo hawezi tobo.
kwa wachagga wengi huu utaratibu amna.

Makabila haya kwangu niliyoyaona ni kama.

-Wanyakyusa
-Wazaramo
-wasambaa
-Wabena

Kuna ile kujifich nyuma ya kivuli cha undugu lakini inakuwa inazidi sasa, mtu hata maendeleo yanashuka
 
Mkuu huwezi kuongea jambo bila uthibitisho

Sample yako ni ya watu wangapi uliyoitafiti?

Eneo lako la utafiti ni wapi na lina ukubwa gani

Umetumia methodolojia gani kwenye utafiti wako?

Ukishindwa kuyajibu maswali hayo baasi tutaconclude kwamba umeamua kuleta ugomvi wako binafsi na mkeo kwenye mitandao ya kijamii sisi hautuhusu

Umefanya "over generalization'
 
Kuna aina ya kwanza ya makabila wana umoja lakini sio umoja wa kuwa tegemezi kama wachaga, wakinga, wakuria, n.k yaani kama wewe ni mgeni ukienda kwa ndugu utapokelewa vizuri tu lakini itabidi uwe umeshaweka ujio wako, ratiba yako ikoje, upo mpaka lini, mipango yako, n.k. kama ni kusalimiana ni sawa kukaa hata wiki 2 ila baada ya hapo unarudi kwenye shughuli zako, sahau kuweka kambi hapo ya kudumu. kama huna shughuli na umefika hapo labda muwe mshaelewana mwenyeji wako atakusaidia mtaji na kukuzoesha mazingira ya hapo ili nawe uanze kujitegemea uwe na pako.

Kuna aina ya pili ya makabila Ukiachana na yale makabila ambayo ni mengi ambayo hayataki kabisa ndugu kqenda kuwasalimia haga tutayazungumzia siku nyingine na haya na

Ila kuna hii aina ya tatu ya makabila mengine, yaani mmoja akipata utasikia kaja baba, mama, shangazi, mjomba, mtoto wa baba mkubwa, mawifi, mashemeji, n.k yaani wote wanaenda kwa mji mmoja wa mtu mwenye familia moja wanakula na kulala hapo kisa eti wamesikia anafanya benki.[emoji28][emoji28] hii kitu inafanya mtu ashindwe kujikwamua kiuchumi yaani mtu mshahara laki7 au laki 5 mnamgandaa hivyo hawezi tobo.
kwa wachagga wengi huu utaratibu amna.

Makabila haya kwangu niliyoyaona ni kama.

-Wanyakyusa
-Wazaramo
-wasambaa
-Wabena

Kuna ile kujifich nyuma ya kivuli cha undugu lakini inakuwa inazidi sasa, mtu hata maendeleo yanashuka
Sio tabia ya wabena . Wabena umetuonea
 
Pogoro kabila la hovyo sana, kwenye ngoma kaka na dada wanagongana tu, na kwenye chakula /Kitoweo hawachagui, nyani, sokwe, yote twende
Sasa Kama kwa ndugu sio wachoyo na kwa watu Baki je? Sindio wanakigawa bure bure?
 
Pole
Mkuu huwezi kuongea jambo bila uthibitisho

Sample yako ni ya watu wangapi uliyoitafiti?

Eneo lako la utafiti ni wapi na lina ukubwa gani

Umetumia methodolojia gani kwenye utafiti wako?

Ukishindwa kuyajibu maswali hayo baasi tutaconclude kwamba umeamua kuleta ugomvi wako binafsi na mkeo kwenye mitandao ya kijamii sisi hautuhusu

Umefanya "over generalization'
Pole ndg mpogoro, but sio wote ila wengiwao!!
 
Back
Top Bottom