Shinyanga, na navyoongea hapa likizo wamekuja vijana 3 maabint 2 ....na wifi alikuja tangu mwez wa 4 anamtoto 1 wa 3yrsLabda wasukuma wa masumbwe , kahama ambao kiasili sio wasukuma
Hahahaa wewe Jamaa unazingua.Makabila yote ya Bara la Afrika yako hivyo.
Wangapi kila siku mnaomba Connection za kufikia UK, USA na South Afrika kwa Watanzania wenzenu?. Huuu ni utamaduni wa kiafrika kuuacha na kuiga Umagharibi ni suala la muda so tusilasimishe suala hili liiishe mara moja.
Huu ujinga mnaopeana hapa kwamba tusibebane ndio Maaana Watanzania hatupigi hatua Huko Ng'ambo.
Sammata hajavuta mtu EPL wala Ubelgiji, lkn angekuwa Mnigeria angewavuta kina Msuva, Manula nk lkn kwa huu ujinga mnaojazana hapa jamvini anawabania wengine, na hao wengine wanajiskia Vibaya kwenda kufikia kwa sammatta ili watafute maisha.
Hashim Thabit kamvuta nani??
Kikeke yuko BBC kamvuta nani???
Wengine wako WB, IMF Wamevuta kina nani??
Huko BOEING kuna Mnyakyusa kafanya nini kwa watanzania???
Wote hawafanyi kitu kwakuwa vichwani wamejaza UTI wa aina hii mnayodili hapa.
NENDA NIGERIA, nenda GHANA, Nenda CAMEROON akienda Rigobert Song lazima ALEX SONG naye aende na atoboe. Akienda KANU lazima aje OKOCHA.
Nenda SERBIA akienda Simba lazima aje MZUNGU na atatoboa.
Anyway: pale kwangu Kigamboni nina Wazinza kibaoooo kutoka Nkome Mchangani mpaka Kakubilo wako Daaaslam wanasaka Maisha. Wewe na Uzungu wako kazana kushupaza shingo na Umimi wako🙏
Shinyanga ipi?Shinyanga, na navyoongea hapa likizo wamekuja vijana 3 maabint 2 ....na wifi alikuja tangu mwez wa 4 anamtoto 1 wa 3yrs
Nlitaka nishangae msiwataje warangi mnavotupendaBila kuwasahau wajaluo na warangi?
Weeee ata Kaka na dada!?Umesahau na wala nyani (Pogoro) Wakishiba chakula wataanza kupigana miti hapohapo kwako, hawachagui wanagongana ndugu kwa ndugu
Kuna aina ya kwanza ya makabila wana umoja lakini sio umoja wa kuwa tegemezi kama wachaga, wakinga, wakuria, n.k yaani kama wewe ni mgeni ukienda kwa ndugu utapokelewa vizuri tu lakini itabidi uwe umeshaweka ujio wako, ratiba yako ikoje, upo mpaka lini, mipango yako, n.k. kama ni kusalimiana ni sawa kukaa hata wiki 2 ila baada ya hapo unarudi kwenye shughuli zako, sahau kuweka kambi hapo ya kudumu. kama huna shughuli na umefika hapo labda muwe mshaelewana mwenyeji wako atakusaidia mtaji na kukuzoesha mazingira ya hapo ili nawe uanze kujitegemea uwe na pako.
Kuna aina ya pili ya makabila Ukiachana na yale makabila ambayo ni mengi ambayo hayataki kabisa ndugu kqenda kuwasalimia haga tutayazungumzia siku nyingine na haya na
Ila kuna hii aina ya tatu ya makabila mengine, yaani mmoja akipata utasikia kaja baba, mama, shangazi, mjomba, mtoto wa baba mkubwa, mawifi, mashemeji, n.k yaani wote wanaenda kwa mji mmoja wa mtu mwenye familia moja wanakula na kulala hapo kisa eti wamesikia anafanya benki.😅😅 hii kitu inafanya mtu ashindwe kujikwamua kiuchumi yaani mtu mshahara laki7 au laki 5 mnamgandaa hivyo hawezi tobo.
kwa wachagga wengi huu utaratibu amna.
Makabila haya kwangu niliyoyaona ni kama.
-Wanyakyusa
-Wazaramo
-wasambaa
-Wabena
Kuna ile kujifich nyuma ya kivuli cha undugu lakini inakuwa inazidi sasa, mtu hata maendeleo yanashuka
Sio tabia ya wabena . Wabena umetuoneaKuna aina ya kwanza ya makabila wana umoja lakini sio umoja wa kuwa tegemezi kama wachaga, wakinga, wakuria, n.k yaani kama wewe ni mgeni ukienda kwa ndugu utapokelewa vizuri tu lakini itabidi uwe umeshaweka ujio wako, ratiba yako ikoje, upo mpaka lini, mipango yako, n.k. kama ni kusalimiana ni sawa kukaa hata wiki 2 ila baada ya hapo unarudi kwenye shughuli zako, sahau kuweka kambi hapo ya kudumu. kama huna shughuli na umefika hapo labda muwe mshaelewana mwenyeji wako atakusaidia mtaji na kukuzoesha mazingira ya hapo ili nawe uanze kujitegemea uwe na pako.
Kuna aina ya pili ya makabila Ukiachana na yale makabila ambayo ni mengi ambayo hayataki kabisa ndugu kqenda kuwasalimia haga tutayazungumzia siku nyingine na haya na
Ila kuna hii aina ya tatu ya makabila mengine, yaani mmoja akipata utasikia kaja baba, mama, shangazi, mjomba, mtoto wa baba mkubwa, mawifi, mashemeji, n.k yaani wote wanaenda kwa mji mmoja wa mtu mwenye familia moja wanakula na kulala hapo kisa eti wamesikia anafanya benki.[emoji28][emoji28] hii kitu inafanya mtu ashindwe kujikwamua kiuchumi yaani mtu mshahara laki7 au laki 5 mnamgandaa hivyo hawezi tobo.
kwa wachagga wengi huu utaratibu amna.
Makabila haya kwangu niliyoyaona ni kama.
-Wanyakyusa
-Wazaramo
-wasambaa
-Wabena
Kuna ile kujifich nyuma ya kivuli cha undugu lakini inakuwa inazidi sasa, mtu hata maendeleo yanashuka
Sasa Kama kwa ndugu sio wachoyo na kwa watu Baki je? Sindio wanakigawa bure bure?Pogoro kabila la hovyo sana, kwenye ngoma kaka na dada wanagongana tu, na kwenye chakula /Kitoweo hawachagui, nyani, sokwe, yote twende
Huyo hawaelewi wasukuma, hawanaga aibu wala zuga hao.....inabidi upambane.Shinyanga, na navyoongea hapa likizo wamekuja vijana 3 maabint 2 ....na wifi alikuja tangu mwez wa 4 anamtoto 1 wa 3yrs
Pole ndg mpogoro, but sio wote ila wengiwao!!Mkuu huwezi kuongea jambo bila uthibitisho
Sample yako ni ya watu wangapi uliyoitafiti?
Eneo lako la utafiti ni wapi na lina ukubwa gani
Umetumia methodolojia gani kwenye utafiti wako?
Ukishindwa kuyajibu maswali hayo baasi tutaconclude kwamba umeamua kuleta ugomvi wako binafsi na mkeo kwenye mitandao ya kijamii sisi hautuhusu
Umefanya "over generalization'