Hahahaha [emoji1787]Ila kuna Wahaya jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kitendo cha kuja kwake bila taarifa,umekwishaaa!!!Hawanaga aibu,chakula kwa mhaya kinamuumiza sana ni heri kidogo mhaya wa kijijini anaweza kukuvumilia coz utakula vinavyotoka shambani but jichanganye eti unaenda kwa Mhaya aishie town na hasa Dar! !Ukibahatika sana utakaa 3 dayz tena za kupewa makavu live kila siku,ukiondoka hapo kamwe hutokuja ukanyage pale tena
Waha wameongoza humu [emoji38][emoji38][emoji122][emoji122][emoji122]Waha siyo lazima wawe ndugu. Maadamu ni kabila moja, utajuta kuzaliwa
Hawajaacha hii tabia mpaka leo?Wanyamwanga ni balaa,kujazana kwa ndugu😁😁😁😁😁
Huyo hapo dogo anaitwa kelvin Pius mtanzania kapelekwa na samata Genk,hao wengine wanachukiii halafu unakuta hata sio mfuatiliaji wa mpiraHahahaa wewe Jamaa unazingua.
Samatta anaweza kumsaidia vipi mtu asajiliwe EPL au Genk?
Boeing, IMF, WB hakuna undugu kule unaingia kwa uwezo wako.
Mnawakataa ndugu zenuNa wanyantuzu pia nao inasemekana sio wasukuma.
Yaani kweli baby yaani mie nakwambia yaani??? heee! hao mbona bonge la mtaji hilo!!! wacha waje tu!! fungua bonge la shamba huko Mlandizi, wajeMmmmmhhh!
Hii nzuriNilipoanza kuona invoice kutoka kwa ndugu wa upande wa baba zinakuwa nyingi, nilijifanya nina maisha magumu hatare! Simu zao zikakata.
Kama kuna mjomba au shangazi hakuwahi kunitumia hata sh elfu mbili wakati nasoma, nimesema asinijue kwenye uzee wake. Shida zake apelekee waliokula mshahara wake!
Hiyo ndio point kama watu hawataki kufanya kazi lazima watakuwa tegemezi.Mwisho wa siku ni umaskini tu, mtu akiwa busy na shughuli zake huo muda wa kuhamia kwa mtu anautoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojawasambaa kwa tabia hizo ndo wenyewe hao ukoo mzima utahamia kwa ndugu au kama mtoto wao kaolewa na mume mwenye unafuu wa maisha basi timu nzima itaweka kambi ya pre season hapo nyumbani
[emoji1787]Waha siyo lazima wawe ndugu. Maadamu ni kabila moja, utajuta kuzaliwa