Me pia ni miongoni Mwa familia za aina hizo na sijawahi kujutia. Ndo asili yetu wa africa inasaidia Sana kuongeza Upendo, kutambuana, maadili na kudumisha umoja.
Sisi haturuhusu mtu ambae hana kazi ila kwa kuishi pamoja mwezi 1 au 2 ukiwa una seti mambo yako ni k2 cha kawaida. Napenda sana mfumo huo na ndo mana napenda kusaidia watu na kuishi nao