WahayaAisee, sio kusaidiana tena bali ni ukabila, kuvutana kwenye kampuni ama biashara binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku faida na hasara ni ya mwenye kampuni, Lakini kwenye serikali yenye maslahi ya kitaifa haya mamboo hauapaswi kufanyika.
1. Wachaga.
2. Wanyakyusa
3. Wasukuma
Hao ukiwa na ka elimu at least mkuuWahaya
Bila kusahau wazanzibarkuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima
bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
Wahaya at least
Au crdb ya kimei!Kuna ofisi flani niliienda,lugha kuu ya hiyo ofisi ni kichaga tu tena cha Rombo.
kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima
bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
Wahaya at least
Na wasukuma ni hatariii!! Wanawekana bila aibu na wanaongea ofcn bila aibu kuteta wenzao[emoji3525][emoji3525][emoji3525]Kuna ofisi flani niliienda,lugha kuu ya hiyo ofisi ni kichaga tu tena cha Rombo.
Wanyakyusa tunasakamwa eeh?kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima
bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
Wahaya at least
Hapo unazungumzia simulizi. Toa mfano.kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima
bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
Wahaya at least
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.Hapo unazungumzia simulizi. Toa mfano.
Wachaga wasomi ni wengi. Hata darasa la watoto 30 huko Lindi si ajabu ukakuta wachaga wako 5 hadi 10.
Wanyakyusa wameshika ofisi ipi na ipi, na wamemsaidia nani?
Wasukuma kwa idadi ni wengi, waliosoma ni wengi, ingawa ambao hawajasoma ni wengi zaidi.
Hayo makabila, wachaga, wasukuma yameshika nafasi nyingi, si kwa sababu wanapendeleana. Wenye shule wako wengi. Wanyakyusa, unawasingizia. Labda enzi za Nsekela na Mwaikambo. Wanyakyusa hata kusaidiana ni kugumu, watu wote watokao nyanda za juu kusini hawapendi kubebana.
Msukuma ana akili sawasawa ...ww wa wapNa ndiyo makabila yenye watu wenye akili sawa sawa.... Kwahiyo hakuna cha kujudge hapo.