Wahaya!Hapo unazungumzia simulizi. Toa mfano.
Wachaga wasomi ni wengi. Hata darasa la watoto 30 huko Lindi si ajabu ukakuta wachaga wako 5 hadi 10.
Wanyakyusa wameshika ofisi ipi na ipi, na wamemsaidia nani?
Wasukuma kwa idadi ni wengi, waliosoma ni wengi, ingawa ambao hawajasoma ni wengi zaidi.
Hayo makabila, wachaga, wasukuma yameshika nafasi nyingi, si kwa sababu wanapendeleana. Wenye shule wako wengi. Wanyakyusa, unawasingizia. Labda enzi za Nsekela na Mwaikambo. Wanyakyusa hata kusaidiana ni kugumu, watu wote watokao nyanda za juu kusini hawapendi kubebana.
Andika ueleweke, unapingana na hoja au unakubaliana nayo????Msukuma ana akili sawasawa ...ww wa wap
Hv umesomea wap ww jamaa, vichwa kutoka Bariadi, Mwanza hujasoma na navyo wewe ooh nawajua wale wapumbavu wana akili balaa tuache unafk kbsMsukuma ana akili sawasawa ...ww wa wap
nafasi ya wachaga weka wahaya!!! wachaga wanajitegemea mazee!!kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
Wahaya at least.
Mmh wasukuma unewaonea mkuu au mi ndo siwafaham vzrkuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
Wahaya at least.
🤣😳Kuna ofisi flani niliienda,lugha kuu ya hiyo ofisi ni kichaga tu tena cha Rombo.
Kwaiyo na yeye apambambane aanzishe shirika lake la umma au wizara yake?Pambana uanzishe cha kwako na wewe ujaze watu wa kwenu. Simple tu!
Wasukuma hawawezi kuwepoAndika ueleweke, unapingana na hoja au unakubaliana nayo????
Na kama unapinga nitajie top 5 ya makabila yanayoongoza kuwa na watu smart sana,, I mean usmart wa akili.
Usiseme hawawezi kuwepo ili hali haujaweka list yoyote.Wasukuma hawawezi kuwepo
miyeyusho sana hao watu... ila wachaga,wahaya na wanyakyusa hiyo nafasi ya kwanza wanaigombaniakuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
4.Wahaya
Wewe ukiweka list utawaweka?Usiseme hawawezi kuwepo ili hali haujaweka list yoyote.
Uzuri wasukuma jamaa hawanaga makelele nenda DAWASA,TRC au DART hapo wako wengi sanaUsiseme hawawezi kuwepo ili hali haujaweka list yoyote.
Hao hasa #1 wamesoma sana kule kwao kila kijiji kina shule ya sekondari na wanaongoza nchi hii pamoja na ka-mkoa kao kadogo sana wanaishinda Dar na mikoa mingine kwa shule. Pia kiuchumi wapo freshi sio ajabu wamejaa Kariakoo na TRA pia! Hao wengine ndio sheeda hasa #2 na #4.kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache
1. Wachaga.
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
4.Wahaya