John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 836
- 1,288
"Taifa haliwezi kukombolewa na vijana wanaowaza ngono na pombe" -Che GuevaraUlevi umekua ni kitu cha kujivunia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Taifa haliwezi kukombolewa na vijana wanaowaza ngono na pombe" -Che GuevaraUlevi umekua ni kitu cha kujivunia?
Mkuu hauelewi sentensi moja, je kitabu itakuaje?Hujaeleweka kabisa
Hivi unajua makabila haya wanyakyusa, wachaga na wahaya ndio wanaoendesha nchi kwa utajiri, usomi na maendeleo kidogo na wakinga pekua utajuaKwenye Bonus ongeza Wafipa na Wanyiramba.
Ahaa haa mkuu kweli, Warusi nchi yote ni ABSOLUTELY VODKA, ukienda kwa Wajerumani ndiyo hatusemi, BIER BEER, ukija Scotland ni Scottish Whiskey, huko U.S. sisemi, bondeni Sauzi mayowanee!!!UCHUMI wa Russia umeharibiwa na pombe, eti ehh?
Nasikia wanasemaga eti siku zote Mngoni mpe pesa atafikisha ila sio mke. 😀Wangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
Mi mzaramo sema ni mtu wa kujichanganyaMtoa Maada atakuwa nae Mchaga amekuja kujionesha anachangia Pato la Taifa Kupitia Pombe, Ni kweli kabisa Wanywaji Pombe Wanaushirikiano na Mtu akilewa Mara nyingi anaongea Ukweli tu Huo ndio Msingi wa Kulewa. Ndio Maana watu wakilewa wanaanza kukutambulisha bila hata kuwauliza kazi zao Mara huyu TRA, Takukuru, Polisi, Jwtz, Mwalimu, Daktari, Tiss, Mgambo, Madini, Boss, Mkuu wa Kitengo na Wengine kibao Hiyo ndio Raha ya Pombe [emoji3]
Na huo utabak kuwa ukweli,mm sitoki mikoa hiyo lakini nimekaa nao sana. Bila watu wa mikoani Dar ingekuwa kama bagamoyo tuHivi unajua makabila haya wanyakyusa, wachaga na wahaya ndio wanaoendesha nchi kwa utajiri, usomi na maendeleo kidogo na wakinga pekua utajua
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kuna rafiki yangu mngoni akiona mwanamke mzuri barabarani hata kama alikuwa akitoa stori ya maana kiasi gani husahau story yote hadi akumbushwe alichokuwa akisema! 😀Wangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
Asees hao raia wanapenda chini balaaa si wanaume wala wanawakeWangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
Pombe inaharibu uchumi hadi akili!! (Kamata hiyo kwanza)baada ya uchumi kuharibiwa na pombe then akili nayo inakurupushwa kuwa hali si shwari!! Akili inaamka kama ilivyo na kufanya maamuzi ya kishindo! Umenipata? Mtu aliyepoteza hela ya bosi kwenye pombe wakati asubuhi anatakiwa airejeshe anaju vizuri jinsi anavyo lazimika kuwa aggressive ili kupata nyingine ya kufidia!! Hata ukimwambia akuuzie mtoto wake hawazi mara mbili!! Akiendelea hivyo inakuwa ndiyo tabia yake,muda wote atakuwa resi kuzisaka na kuzispend,na angalau kujiwekezea zaidi na zaidi ili aweze kumudu gharama za maisha yake ya kijinga,mwisho anakuwa tajiri mwenye mali nyingi na matumizi mengi, ila kwenye hili kunahitajika proper equation!!! Dont try it
Aisee mbona unatuzarau wa Gamboshi, utaipata habari yako!1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia.
2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga pombe sio masihara, pamoja na utumiaji huo wa kileo lakini Mbeya kuna maendeleo.
3. Wahaya: nani asiyejua wahaya darasani,vyuoni na maofisini? Kwa takwimu zisizo rasmi wanaongoza kwa kuwa na maprofesa wengi. Pamoja na usomi wao lakini kwenye pombe,sio watu wabana pesa. Inasemekana mwisho wa mwaka pombe za ghali kama Hennessy, Hennessy, jackdaniel n.k ziliishajini Bukoba.
Bonus: Wahehe, kwanza ni wasomi wazuri tu,ni majasiri toka zamani lakini mitingi wanapiga sana. Sijui mengi kuhusu Iringa.
Sasa swali kwa msiokunywa pombe mbona maendeleo yenu ya kawaida kuliko wanaokunywa? Je, dhana ya pombe inasababisha umasikini ni kweli ama si kweli?