Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti akili darasani.Fanya utafiti.No research no right to speak.1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia.
2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga pombe sio masihara, pamoja na utumiaji huo wa kileo lakini Mbeya kuna maendeleo.
3. Wahaya: nani asiyejua wahaya darasani,vyuoni na maofisini? Kwa takwimu zisizo rasmi wanaongoza kwa kuwa na maprofesa wengi. Pamoja na usomi wao lakini kwenye pombe,sio watu wabana pesa. Inasemekana mwisho wa mwaka pombe za ghali kama Hennessy, Hennessy, jackdaniel n.k ziliishajini Bukoba.
Bonus: Wahehe, kwanza ni wasomi wazuri tu,ni majasiri toka zamani lakini mitingi wanapiga sana. Sijui mengi kuhusu Iringa.
Sasa swali kwa msiokunywa pombe mbona maendeleo yenu ya kawaida kuliko wanaokunywa? Je, dhana ya pombe inasababisha umasikini ni kweli ama si kweli?
Iko hivi, SIo Ukweli tuu hata Uongo unaweza ukaongelewa;Mtu akilewa Mara nyingi anaongea Ukweli tu Huo ndio Msingi wa Kulewa
umetumwa wewe
Pombe inyweke kwa staha tu baaas. Nilikunywa nikaacha mwaka juzi.Pombe inaharibu uchumi hadi akili!! (Kamata hiyo kwanza)baada ya uchumi kuharibiwa na pombe then akili nayo inakurupushwa kuwa hali si shwari!! Akili inaamka kama ilivyo na kufanya maamuzi ya kishindo! Umenipata? Mtu aliyepoteza hela ya bosi kwenye pombe wakati asubuhi anatakiwa airejeshe anaju vizuri jinsi anavyo lazimika kuwa aggressive ili kupata nyingine ya kufidia!! Hata ukimwambia akuuzie mtoto wake hawazi mara mbili!! Akiendelea hivyo inakuwa ndiyo tabia yake,muda wote atakuwa resi kuzisaka na kuzispend,na angalau kujiwekezea zaidi na zaidi ili aweze kumudu gharama za maisha yake ya kijinga,mwisho anakuwa tajiri mwenye mali nyingi na matumizi mengi, ila kwenye hili kunahitajika proper equation!!! Dont try it
Jibu unalo mwenyewe,kwanin wanywaji ndio wenye akili na maendeleo?
Historia ya zamani sanaWangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
[emoji2][emoji2][emoji2]Wangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
Hapana Ruvuma hakuna madem wakaliSi wale wa Ruvuma? Afu wana madem wakali sana.
Germany ni kati ya nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe na ni kati ya nchi yenye watu wenye akili sana na maendeleo makubwa kisayansi na kiuchumi. Somalia hakuna baa hata moja ila hali zao mnazijua1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia.
2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga pombe sio masihara, pamoja na utumiaji huo wa kileo lakini Mbeya kuna maendeleo.
3. Wahaya: nani asiyejua wahaya darasani, vyuoni na maofisini? Kwa takwimu zisizo rasmi wanaongoza kwa kuwa na maprofesa wengi. Pamoja na usomi wao lakini kwenye pombe, sio watu wabana pesa. Inasemekana mwisho wa mwaka pombe za ghali kama Hennessy, Hennessy, Jack Daniels n.k ziliishajini Bukoba.
Bonus: Wahehe, kwanza ni wasomi wazuri tu, ni majasiri toka zamani lakini mitingi wanapiga sana. Sijui mengi kuhusu Iringa.
Sasa swali kwa msiokunywa pombe mbona maendeleo yenu ya kawaida kuliko wanaokunywa? Je, dhana ya pombe inasababisha umasikini ni kweli ama si kweli?
So unamaanisha pombe ndio inaleta maendeleo ya kitaifa in technology, maadili na uchumi?Germany ni kati ya nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe na ni kati ya nchi yenye watu wenye akili sana na maendeleo makubwa kisayansi na kiuchumi. Somalia hakuna baa hata moja ila hali zao mnazijua
nitakuzaba vibaoWangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
Jina lako linaakisi wewe ni wa hukoWangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
Wewe wasemaSo unamaanisha pombe ndio inaleta maendeleo ya kitaifa in technology, maadili na uchumi?
🤣🤣🤣🤣Germany ni kati ya nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe na ni kati ya nchi yenye watu wenye akili sana na maendeleo makubwa kisayansi na kiuchumi. Somalia hakuna baa hata moja ila hali zao mnazijua
Wee sisi wangoni tupo vizuri kichwani, but sio wote ambao hawapendi kuendeleza kwetu,Wangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.