Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Chukua KVant nakuja kukulipia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetokana na serikali kupendelea kila fursa,kama kungekuwa na majimbo kungekuwa na mgawanyo sawaKabla ya uhuru na baada ya uhuru Dar ilikuwaje? Unafahamu kuwa wabantu wa mbali na hayo makabila walikuwa na majengo makubwa tu kariakoo na kufanya biashara na kujiwekeza kwa aina tofauti?
Ikiwa Dar bila watu wa mikoani ingekuwa kama Bagamoyo vipi hao waliyotoka mikoani imekuwaje mikoa yao haikuendelelea kabla ya Dar?
Mnama JM Mmasy kukukaa saaUmefunga uzi Mkuu 😀
walevi wa pombe gani ? zipo pombe usababisha umaskini na upungufu wa akili lkn zipo pombe uongeza utajiri na akiliWarangi na Wasambaa ni walevi sana
Ujovi sana Dadi!Kwani hujui chini kutamuuuuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnama JM Mmasy kukukaa saa
Yaani wewe ni kilaza kabisa hao wanje wanakuhusu nini wanarisishana tu hao halafu eti kabisaa waarabu???tafuta real tanzania mahotel makubwa mfano piccock, landmark ambayo sasa wameyageuza myanyakyusa anamiliki na sio hayo tu tembea mikoani kisha uliza makabila hayo kwa uchacharikaji nakupa hiyo kilaza wewe mbaka leo unasifia tu mwarabu ambao wanahesabika mbona kwao huko masikini kibaoUnatudanganya mkuu, top ten ya billionaires ni wahindi na waarabu hakuna mbongo hata mmoja walikuwepo Mengi na Ali Mufuruki ambao they are no more.
Wafipa ni chapombe na kutiana hovyo yaani kwao single moms ni wengi kuliko watoto wa shule na tuwanaume twao tumetelekeza familia na vitoto, kichwani chengaKwenye Bonus ongeza Wafipa na Wanyiramba.