Makabila haya yanaongoza kwa ulevi Tanzania, yanaongoza kwa akili pia

Unazungumzia pombe zipi za kisasa zile zenye za TBS na zimepimwa au zile za kwenye lita kila mtu anakunywa na inzi wanadumbukia na wanapochota mpaka mikono inadubumbukia kwenye ndoo
 
Eti akili darasani.Fanya utafiti.No research no right to speak.
 
Mtu akilewa Mara nyingi anaongea Ukweli tu Huo ndio Msingi wa Kulewa
Iko hivi, SIo Ukweli tuu hata Uongo unaweza ukaongelewa;
Kimsingi ni kwamba Mtu napokunywa pombe ndio anakuwa mtu halisi; Wengi huwa anaona labda yupo out of concious lakini binafsi sidhani kama ni kweli.
Anapokuwa amelewa, hajizuii kwa chochote, maana anakuwa out of Control na mwili wake; Lakini kama hujalewa watu huwa wanajizuia sana kufanya baadhi ya mambo kuhofia aibu, credibility, heshima yao kupotea kwenye jamii etc, lakini ukilewa hujizuii;
Kama mtu ni wa kutukana, akiwa hajaliewa anaweza kujizuia kutoa matusi, lakini akilewa ndo anakuwa Mtu halisi.
 
2021 unajadili makabila ungebaki huko kwenu.
 
Pombe inyweke kwa staha tu baaas. Nilikunywa nikaacha mwaka juzi.
 
Germany ni kati ya nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe na ni kati ya nchi yenye watu wenye akili sana na maendeleo makubwa kisayansi na kiuchumi. Somalia hakuna baa hata moja ila hali zao mnazijua
 
Germany ni kati ya nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe na ni kati ya nchi yenye watu wenye akili sana na maendeleo makubwa kisayansi na kiuchumi. Somalia hakuna baa hata moja ila hali zao mnazijua
So unamaanisha pombe ndio inaleta maendeleo ya kitaifa in technology, maadili na uchumi?
 
Germany ni kati ya nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe na ni kati ya nchi yenye watu wenye akili sana na maendeleo makubwa kisayansi na kiuchumi. Somalia hakuna baa hata moja ila hali zao mnazijua
🤣🤣🤣🤣
 
Wangoni wao pombe na wanawake. Akili kichwani za kawaida sana na hawapendi kuendeleza kwao.
Wee sisi wangoni tupo vizuri kichwani, but sio wote ambao hawapendi kuendeleza kwetu,
Pombe na ngono kwetu ni chakula. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…