Makabila haya yanaongoza kwa ulevi Tanzania, yanaongoza kwa akili pia

Imetokana na serikali kupendelea kila fursa,kama kungekuwa na majimbo kungekuwa na mgawanyo sawa
 
Unatudanganya mkuu, top ten ya billionaires ni wahindi na waarabu hakuna mbongo hata mmoja walikuwepo Mengi na Ali Mufuruki ambao they are no more.
Orgin ya waindi ni Tanzania?
 
Unatudanganya mkuu, top ten ya billionaires ni wahindi na waarabu hakuna mbongo hata mmoja walikuwepo Mengi na Ali Mufuruki ambao they are no more.
Yaani wewe ni kilaza kabisa hao wanje wanakuhusu nini wanarisishana tu hao halafu eti kabisaa waarabu???tafuta real tanzania mahotel makubwa mfano piccock, landmark ambayo sasa wameyageuza myanyakyusa anamiliki na sio hayo tu tembea mikoani kisha uliza makabila hayo kwa uchacharikaji nakupa hiyo kilaza wewe mbaka leo unasifia tu mwarabu ambao wanahesabika mbona kwao huko masikini kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…