Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

Wamasai ni wachawi
 
Hivi kwa wajita na wakwaya wapi haya mambo ya ushirikina yamezidi ?
Wanalingana tu, labda tofauti ni kuwa wajita ni wengi kwa idadi kuliko wakwaya, hivyo inaweza kuonekana wajita ni wachawi zaidi kuliko wakwaya ila wanaendana
 
Mleta mada haupo serious...Tanzania hii hakuna kabila ambalo halijihusishi kabisa na mambo ya ushirikina/uchawi & uganga.
Ila labda ungezungumzia kiwango ningekubaliana na wewe. Maana yapo makabila kwenye masuala hayo hawayahusudu sana labda litokee tatizo kubwa.....na yapo makabila ambayo wao hawafanyi chochote bila kufanya ushirikina yaani kilakitu kinaenda kwa imani ya kichwani na uganga.
Na umetaja makabila matatu ambayo umesema hayajihusishi kabisa na masuala ya uganga/ uchawi/mizimu.
Tuanze na Wakurya hapa utakutana na mkurya mwenye asili yake UMUGHAKA atakupa a,b,c
 
Wakurya ni wachawi, wengine sawa.Uchawi wa kikurya ni wa kichifu ila mpaka ukitumika vibaya ndio unaitwa uchawi.Yaani ukigeuzwa matumizi.
 
Mkuu wakurya siyo wachawi
 
Umefika rombo lakiniiiii????
 
Maviii umekunya leo wewe hujui wewe
 
Huna matokeo ya utafiti. Acha ukabila
 
Aliyekuambia wachaga sio wachawi ni nani. Kwani kutambika na kutoa sadaka za damu za mbuzi kuku na ngombe.. kumwaga ulezi na maziwa kupeana kwa mizimu ya mababu wiokufa zamani kila mwisho wa mwaka kuna tofauti gani na uchawi. Tena bora uchawi mwingine lakini sio huo wa kutambikia mizimu. Ndio maana wanafanikiwa sana kibiashara na huwezi kushindana na mchaga maana huo uchawi wa kafara za wanyama na watu ni mkali kupitiliza asikwambie mtu. Otherwise uwe mtu wa maombi sana ndio utampiku mchagga anayetumia nguvu za MIZIMU kwenye biashara au kazi yake.... me ni mchaga nakwambia uhalisia ninaoujua..
 
Soma post nzima, nimeeleza kwamba ni kutokana na uwepo wa kiwango kidogo ama nadra, sijasema kwamba haupo kabisa
 
Muulize je ameshawahi kusikia mganga wa kienyeji mchaga?
Ushirikina wa kutafuta mali kwa waganga wa makabila mengine hatukatai tunaenda.
Lakini uchawi wa kurogana uchagani haupo.
Amekusikia.

Hakuna mganga wa Kichaga wala Kimeru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…